Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Asante sana mkuu kwa nafasi na ushauri unaoendelea kuutoa hapa. Mimi nimeangaika sana kwa muda mrefu mwili wangu ni dhaifu sana maumivu kila sehemu kichwa, mgongo na hata wakati mwingine tumbo pia linauma bila kuvuruga ila kama kuna kitu kunatambaa, sasa mbaya zaidi sehemu ya aja kubwa nikipush mzigo kunakuwa kama kunashuka na mzigo pia ile choo ya mwisho haisukumwi kutoka ni lazima niitoe kwa kutawaza, Nguvu za kiume pia zimepungua na mkojo haudondoki lakini unaruka umbali mdogo. Kwa sasa nasikia eneo la kifua mbele karibu ya koo na nyuma karibu na shingo pama maumivu ambayo hata nikiinua kitu juu kwa mikono yanasikika sana. Hii kitu inaweza kuwa ni nini eti?
 
Haya majani ulikuwa unachemsha?
 
Pole sana mkuu kwa madhira unayoyapitia.Nimefuatilia nyuzi zako zilizopita na nimefahamu kuwa umehangaika na madhira haya kwa muda mrefu.Itoshe tu kusema kuwa usikate tamaa juu ya kupambania afya yako.Ukipata nafasi nitafute kwa hii namba yangu ili tushauriane zaidi.

0674 348222

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Shida ya joints haswa nyakati za baridi, niliambiwa ni arthritis. Naombeni mwenye tiba ya kudumu ya shida hii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Tunajadili kuteseka au mimea yako? Naona ushajiweka mkao nyuma yetu tayari kuturerekebisha
 

wewe una mapepo na mizimu ya gizani huhitaji tiba ya mwili bali ya kiroho
 
Weka link ya tonic

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kuumwa kizazi kiasi unaona moto unawaka.

Nilichofanya nimeacha kabisa kutumia sukari. Inasemekana sukari inachochea kansa.

Nikawa natafuna majani ya mlonge, kiasi cha kujaza ngumi yangu, kila siku asubuhi kabla sijala kitu chochote.

Sasa sijambo na pia mlonge una busti sana memory.

Uzi mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…