Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
chukua majani ya mualovera, katakata vipande vidogo vidogo na uloweke kwenye maji nusu lita.Nipeni dawa ya malaria pia, inanisumbua sana
Mkuu,hii inakuza mashine au inaurejesha katika hali yake ya uimara?Ng'ocha ngoko
Kumbwa mbezo nk
Mitishamba hiyo huhusisha kuimarisha misuli ya uume iliyolegea na kuifanya imara,huondoa chango la kiume ambalo ndilo chanzo hasa cha maumbile kusinyaa! Hurekebisha homoni ya kiume na hivyo huongeza maradufu na ni tiba ya nguvu za kiume kama ikiandaliwa katika mazingira sahihi na kutumiwa kwa weledi
Bado kuna kumeza vidonge tena, nilihitaji ambayo haina hata kidonge, halafu siku 7 ni nyingi labda kama sitougua tena, ni bora tu kutumia hii dose ya kawaida ya malaria ya siku 3 tuchukua majani ya mualovera, katakata vipande vidogo vidogo na uloweke kwenye maji nusu lita.
Acha mchanganyko huo masaa 12, kunywa ahsubuh na jioni kwa siku 7.
Nunua na panadol utakua unakunywa tembe 2×3 kwa siku.
Meza panadol mpaka utakapo maliza doz ya mualovera.
😖chukua majani ya mualovera, katakata vipande vidogo vidogo na uloweke kwenye maji nusu lita.
Acha mchanganyko huo masaa 12, kunywa ahsubuh na jioni kwa siku 7.
Nunua na panadol utakua unakunywa tembe 2×3 kwa siku.
Meza panadol mpaka utakapo maliza doz ya mualovera.
Hii ipo Umasaini, inamaliza kabisa nikipata namba ya Mzee mmoja wa Monduli nitakuunganisha alimsaidia sana Mzee wangu na Bi mdogoTiba ya kisukari ni ipi hasa??
Kuna tiba yoyote ya VITILIGO ?Jambo watanzania wenzangu!!
Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.
NB: Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina, ama mambo dhahania, maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku ambayo tunaishi nayo na yanatusumbua.
Wapare wanauita mseleMkuu Mshana Jr. Bado Tuko kwenye Oktava ya Mwaka mpya 2022. Happy New yr.🤣 aithee.
Huo mti uliooneshwa hapo kwenye picha wenye maua makubwa mekundu SIO Mjafari.
Mjafari huku Umasaini ni mingi sana na Unaitwa Oloisuki. Baadhi ya makabila wanauita Mlungulunguani, Wahehe wanauita Mkhunungu. Unamatumizi-dawa mengi sana.
Majani yake machanga huweza kutumika kama mboga(Mlenda). Matunda yake yaliyokomaa yanafanana sana na pilipili manga. Hukaushwa na kusagwa na hutumika kama Tangawizi kwenye chai- hutibu matatizo ya kifua kinachobana. Mizizi yake iliyokaushwa na kusagwa hutumika kutibu maumivu ya viungo/mifupa ikiwepo arthritis, mgongo, kiuno n.k. n.k.
Mti huo picha yake ni hii hapa:
Angalia maua yake yalivyo ni tofauti na yale mekundu katika picha iliyooneshwa. Picha (Mti) uliyooneshwa wenye maua makubwa mekundu huku Umasaini tunauita mti huo Olng'aroji.
View attachment 2071796
View attachment 2071800
View attachment 2071807