Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuma majani yake saizi ya kiganja chako uyaoshe, alafu chemsha maji kikombe kidogo yakishachemka tu epua alafu dumbukiza humo hayo majani ukae kana dakika mbili utaona maji yanakuwa na rangi ya chungwa. Kunywa hayo maji kisha tafuna na hayo majani umeze... Siku mbili tu hata kama ulikuwa unaumwa utajisikia sawa. Inakuwa kama muujiza lakini ndio kweliTaja ugonjwa uliokusumbua na namna ulivyopona... Yani dawa iliyokuponyesha.
Mimi nilisumbuka na vidonda vya tumbo kiasi kwamba ilifika mahali ikawa haja kubwa inatoka na damu, nikaishiwa hadi damu ila nikaja kusoma hapa jamiiforum kwamba mashona nguo ni dawa ya vidonda vya tumbo.
Nikatumia kama ilivyoelezwa kwamba ni asubuhi kwa siku 3, sasa nilituma siku mbili tu nikapona na mpaka leo nipo fiti hadi pombe kali nagonga, maharage, pilipili na mazagazaga ya aina zote.
Kuna watu wanasumbuka na kuingia gharama hata za mamilioni kumbe nje kwake kuna dawa ya muda mfupi tu ambayo unakuta ni majani yamejiotea tu
Hayo mashona nguo nilitumia siku 2 nikaacha kutokana na hofu sababu mwelezaji aliweka tahadhari kwamba ukitumia muda mrefu yanasababisha kuwasha kwa figo
View attachment 2557696
Ww nenda kaombewe,hizo nguvu za giza na sio ugonjwa tena simama hasa kwenye maombishukran mkuu kwa uzi wako
mimi na ugonjwa ambao mpaka sasaiv ni mwaka wa kumi unanitesa . huu ugonjwa ulianza katikati ya tumbo panakuwa panauma. Siku zilivyo enda nilianza kuwa nahisi baridi na kutetemeka alfu badae nakuwa sasa .
kuna siku nililala usku iyo hali ya baridi ilinijia nilianza kusikia kama akiri yangu inachanganyikiwa nikaanza kujikuta napiga keleke bila mimi kupenda yani najihic kama kuna nguvu inanisukuma nipige kelele . walinipeleka hospital wakahisi wenda itakuwa ni maralia ya kichwa nilipewa dawa ila iyo hali ilipotea nikawa sawa.
zikapta kama wiki mbiri ile hali ikanirudia na bado nakuwa napiga kelele yani tena ikazidi kunakuwa kama kuna kitu kwenye akiri kinanilazimisha kupiga kelele yani nikama nilianza kuchanganyikiwa ivi. mana ilifika atua nikawa natamni kutembea uchi .
nikiwa natembea kama gari inakuja kuna akiri inaniambia niingie kwenye uvungu wa gari yani nikama nimechanganyikiwa kama nikienda kisimani kuchota maji natmni niingie kisimani yani ivyo .
sasa ikabidi nianze kuzunguka kwa waganga nimetembea kwa waganga wengi sama mkuu ila bado hali aikuwa sawa.
sasa pembeni ya tumbo kunakama kitu kinakuwa kama kinakwangua tumbo alfu sasa kinakuwa kinanichosha. napiga miayo balaaah. mkono wangu wa kushoto na mguu wangu wa kushoto Auna nguvu sasa hili ndio moja ya tatizo linalo nitesa sana tumboni kwangu cjui kuna nini mkuu . nilisha enda hospital kupimwa lakn nikaambiwa hakuna ungonjwa . nikisimama kujinyosha nahic kizungu zingu
msaada mkuu nimeelezea kwa ufupi
Sent from my SC-03J using JamiiForums mobile app
Pole sana kwa Mama! Unapswa kuhakikisha mama amepata vipimo ili tuweze kumpa ushauri sahihi kulingana na vipimo vya kitaalamu.Misuri ya mgongoni na ganzi mikononi pamoja na miguuni..yaani mama akitembea hatua 50 lazima aweke kituo kupoza miguu.. Naombeni tiba ya hili
Unaweza kuchemsha majani yake au kwa wenye changamoto ya mimea katika mazingira waishiyo unaweza kuipata ikiwa imevunwa na kukaushwa kwa ustadi ambayo unaweza ukawa unaitumia kwa maji moto.Hujaeleza ulitengenezaje hiyo dawa ulichemsha?
Shukrani Sana kwa maelezo mazuri hakika nimekuelewa vema ,,je baada ya tiba anaweza kunyooka Kama mwanzo maana kwa Sasa amepinda yaan hatembei akiwa mnyoofu??Pole sana kwa Mama! Unapswa kuhakikisha mama amepata vipimo ili tuweze kumpa ushauri sahihi kulingana na vipimo vya kitaalamu.
Pamoja na hilo,kwa uzoefu wangu katika vipimo na tiba za mimea mara nyingi matatizo hayo huambatana na msingi wa tatizo kwenye moyo.
1.Inaweza kuwa mishipa ya damu kwenye moyo imesinyaa na hivyo kusababisha changamoto kubwa wakati wa usukumaji damu na reflection yake anaipata kupitia maumivu kwenye hizo sehemu za mgongo,maeneo ya shingo na hata wakati mwingine maeneo ya kifuani.Hiyo ganzi sehemu za mikono na miguu maana yake kuna changamoto ya ufikaji wa damu maeneo hayo kwa kipimo na wakati sahihi.
2.Inaweza kuwa ni matatizo katika pingili za mgongo,hivyo baadhi ya neva zimeathirika na hivyo kusababisha hali inayompata.
Hakikisha mama anapata vipimo vya kitaalamu ili kubaini tatizo lake.
Matatizo yote hayo yanatatulika.Fuatilia kuna somo niliweka hapa namna ya kuandaa Tonic.Hiyo Tonic akiitumia kwa muda wa wiki moja lazima hali hiyo itabadilika tu na atapata unafuu mkubwa.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Sisi wasambaa mashona nguo ni mboga tamu sana tunaita mbwembweTaja ugonjwa uliokusumbua na namna ulivyopona... Yani dawa iliyokuponyesha.
Mimi nilisumbuka na vidonda vya tumbo kiasi kwamba ilifika mahali ikawa haja kubwa inatoka na damu, nikaishiwa hadi damu ila nikaja kusoma hapa jamiiforum kwamba mashona nguo ni dawa ya vidonda vya tumbo.
Nikatumia kama ilivyoelezwa kwamba ni asubuhi kwa siku 3, sasa nilituma siku mbili tu nikapona na mpaka leo nipo fiti hadi pombe kali nagonga, maharage, pilipili na mazagazaga ya aina zote.
Kuna watu wanasumbuka na kuingia gharama hata za mamilioni kumbe nje kwake kuna dawa ya muda mfupi tu ambayo unakuta ni majani yamejiotea tu
Hayo mashona nguo nilitumia siku 2 nikaacha kutokana na hofu sababu mwelezaji aliweka tahadhari kwamba ukitumia muda mrefu yanasababisha kuwasha kwa figo
View attachment 2557696
Pole sana!Mimi nina maumivu ya ndani, kiunoni, nyuma ya mabega, shingo, kukosa umakini (focus)., kupoteza kumbukumbu na usingizi wa mara kwa mara
nimemtumia dozi ya Neurotone na vitamin b complex, Zimekua zinanipa Nafuu ya Muda Mfupi, lkn tatizo bado linanitesa na linanikwamisha sana utendaji wangu wa kazi
Nimekua mtu wa Mazoezi kila siku kwani ndo yananipa nafuu kidogo
Mitishamba/Mimea ni hazina kubwa na ina maajabu mengi.Hutibu yanayoonekana na yaliyo sirini. Kikubwa sisi binadamu tunahusika tu lakini mponyaji ni Mungu.Shukrani Sana kwa maelezo mazuri hakika nimekuelewa vema ,,je baada ya tiba anaweza kunyooka Kama mwanzo maana kwa Sasa amepinda yaan hatembei akiwa mnyoofu??
Na je wapi naweza kupata vipimo kwa kwa upande wako?
Unatusumbua tumeconcentrate bwana hebu tulia kidogoMkuu mashona nguo ndio Nini Kama unapicha naomba uniwekee sampo...nimemaliza dawa zote za madonda ,juzi nikaagiza morogoro haijafaa kitu kabisa
Nilikuwa sijapita hapo juu nishaudownload huo mmea ondoa shaka bwasheeUnatusumbua tumeconcentrate bwana hebu tulia kidogo
Kichaa hicho wahi milembeshukran mkuu kwa uzi wako
mimi na ugonjwa ambao mpaka sasaiv ni mwaka wa kumi unanitesa . huu ugonjwa ulianza katikati ya tumbo panakuwa panauma. Siku zilivyo enda nilianza kuwa nahisi baridi na kutetemeka alfu badae nakuwa sasa .
kuna siku nililala usku iyo hali ya baridi ilinijia nilianza kusikia kama akiri yangu inachanganyikiwa nikaanza kujikuta napiga keleke bila mimi kupenda yani najihic kama kuna nguvu inanisukuma nipige kelele . walinipeleka hospital wakahisi wenda itakuwa ni maralia ya kichwa nilipewa dawa ila iyo hali ilipotea nikawa sawa.
zikapta kama wiki mbiri ile hali ikanirudia na bado nakuwa napiga kelele yani tena ikazidi kunakuwa kama kuna kitu kwenye akiri kinanilazimisha kupiga kelele yani nikama nilianza kuchanganyikiwa ivi. mana ilifika atua nikawa natamni kutembea uchi .
nikiwa natembea kama gari inakuja kuna akiri inaniambia niingie kwenye uvungu wa gari yani nikama nimechanganyikiwa kama nikienda kisimani kuchota maji natmni niingie kisimani yani ivyo .
sasa ikabidi nianze kuzunguka kwa waganga nimetembea kwa waganga wengi sama mkuu ila bado hali aikuwa sawa.
sasa pembeni ya tumbo kunakama kitu kinakuwa kama kinakwangua tumbo alfu sasa kinakuwa kinanichosha. napiga miayo balaaah. mkono wangu wa kushoto na mguu wangu wa kushoto Auna nguvu sasa hili ndio moja ya tatizo linalo nitesa sana tumboni kwangu cjui kuna nini mkuu . nilisha enda hospital kupimwa lakn nikaambiwa hakuna ungonjwa . nikisimama kujinyosha nahic kizungu zingu
msaada mkuu nimeelezea kwa ufupi
Sent from my SC-03J using JamiiForums mobile app
Pole sana.Huu siyo ugonjwa sugu tena bali ni tatanishi maana kwenye kipimo hauonekani.Kuna mimea inaweza kukusaidia sana lakini changamoto ni Lugha ya pamoja( kiswahili).Naifahamu kwa lugha yangu ya Kisukuma.Kama unaweza kuelewa nijulishe.shukran mkuu kwa uzi wako
mimi na ugonjwa ambao mpaka sasaiv ni mwaka wa kumi unanitesa . huu ugonjwa ulianza katikati ya tumbo panakuwa panauma. Siku zilivyo enda nilianza kuwa nahisi baridi na kutetemeka alfu badae nakuwa sasa .
kuna siku nililala usku iyo hali ya baridi ilinijia nilianza kusikia kama akiri yangu inachanganyikiwa nikaanza kujikuta napiga keleke bila mimi kupenda yani najihic kama kuna nguvu inanisukuma nipige kelele . walinipeleka hospital wakahisi wenda itakuwa ni maralia ya kichwa nilipewa dawa ila iyo hali ilipotea nikawa sawa.
zikapta kama wiki mbiri ile hali ikanirudia na bado nakuwa napiga kelele yani tena ikazidi kunakuwa kama kuna kitu kwenye akiri kinanilazimisha kupiga kelele yani nikama nilianza kuchanganyikiwa ivi. mana ilifika atua nikawa natamni kutembea uchi .
nikiwa natembea kama gari inakuja kuna akiri inaniambia niingie kwenye uvungu wa gari yani nikama nimechanganyikiwa kama nikienda kisimani kuchota maji natmni niingie kisimani yani ivyo .
sasa ikabidi nianze kuzunguka kwa waganga nimetembea kwa waganga wengi sama mkuu ila bado hali aikuwa sawa.
sasa pembeni ya tumbo kunakama kitu kinakuwa kama kinakwangua tumbo alfu sasa kinakuwa kinanichosha. napiga miayo balaaah. mkono wangu wa kushoto na mguu wangu wa kushoto Auna nguvu sasa hili ndio moja ya tatizo linalo nitesa sana tumboni kwangu cjui kuna nini mkuu . nilisha enda hospital kupimwa lakn nikaambiwa hakuna ungonjwa . nikisimama kujinyosha nahic kizungu zingu
msaada mkuu nimeelezea kwa ufupi
Sent from my SC-03J using JamiiForums mobile app
Yapo nyumbani kwangu yananisumbua huwa nayakata hapa naandika reply nipo sehem yalipo bado machanga ngoja yatoe mbegu niyafanyieNimeeleza kwenye comment chini... Chuma majani yake saizi ya kiganja chako uyaoshe, alafu chemsha maji kikombe kidogo yakishachemka tu epua alafu dumbukiza humo hayo majani ukae kana dakika mbili utaona maji yanakuwa na rangi ya chungwa. Kunywa hayo maji kisha tafuna na hayo majani umeze... Siku mbili tu hata kama ulikuwa unaumwa utajisikia sawa. Inakuwa kama muujiza lakini ndio kweli
Una umri gani?? Na jinsia yako ni ipiMkuu Nina tatizo la kiuno kuuma Kama kuwaka moto hivi kwa muda,ambapo muda mwingine kinatulia lakina muda mwingine knauma hasa wakati nikiea nimekaa.
Dawa ya pumu mtoto wangu inamtesa SanaJambo ndugu watanzania wenzangu!
Kuna watu wameteseka muda mrefu sana na wanaendelea kuteseka na magonjwa mbalimbali mpaka leo bila suluhisho na imefikia wakati sasa wanaweza kukata tamaa juu ya maradhi hayo.
Ninaomba tushirikishane hapa hadharani ili tushauriane na kuelekezana nini cha kufanya kulingana na changamoto ya kila mmoja wetu.
Binafsi nina uzoefu wa tiba za mimea na mitishamba katika kutatua changamoto ya maradhi mbalimbali ambayo wakati mwingine yameshindwa kutibika kwa dawa za asili ya kizungu,kwa hiyo ninaweza kukupa A B C ukavuna ili utumie na ninaamini unaweza kupata muujiza wako na ukarudisha tumaini jipya la afya yako.Nina zaidi ya mimea tiba 500 mpaka sasa katika hifadhi yangu binafsi na ninaendelea kujifunza zaidi.Hii inaweza pia kupanua wigo wa watu wengine katika kufanya tafiti zao juu ya mimea na magonjwa.Hata kama kuna mwenye uelewa zaidi au mtaalam tuelekezane hapa aina ya mmea tiba na formula yake katika matumizi ya tiba.
Tafadhali sana mambo ya ramli sitahangaika nayo.Sema ugonjwa unaokusumbua nitakushauri aina ya mimea tiba unayopaswa kutumia kwa utaratibu maalumu ili upone.
Tafadhali mods usiunganishe uzi huu!
Karibuni sana.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Atapona moja kwa moja au kila akijisikia vibaya tunatakiwa kumpa Tena?Tiba ya Ugojwa wa PUMU kifua kubani, mgojwa kushindwa kupumua huwakuta zaidi watu wanaokaa sehemu za baridi,Naanzani kila mtu anamjua Mchwa,Chimba wanapopatikana mchwa,utakuta kuna vitu vinakuwa kama masega ya nyuki,vinakuwa vya rangi ya njano ya kufifia na ni duara,
Chukua kiweke chini ya kigai cha mkaa wa moto unapopikia, kiache kipigwe na joto au moto mpaka kiwe cheusi,kisage unga wake, piki uji wa mahindi, unapochemka tia kijiko kimoja cha ule unga wa mchwa uchemke nao, Subiri uji upoe mpe mgojwa wako, nakuahidi siku tatu ni nyingi, hata kama karazwa hospital atatoka.Mungu ndiye anayejua zaidi