Mm nipo dar kigmbn mtaji ninao nimepanga kufungu duka la jumla la kuuza sigara tu aina zote sasa mwenye uelewa kuhusu sehemu ya kwenda kununulia kama ni kiwandani au kuna wakala nahitaji kujua utaratibu wa sehemu ya kupata mzigo kwa jumla na mm nitakua nauza jumla na leja leja . Nawasilisha kwenu wadau mnisaidie anayefahamu zaidi asanteni
kwa mimi nnavyo fahamu njia rahisi ya kupata hizi mashine ni vizuri ukaenda makao makuu yao pale Makumbusho ukajisajili then unawapewa sijajuwa kwa sasa hivi ni shillingi ngapi nakuhusu faida utaipata kwa kupitia commision based na kuongezeka kwa faida au kupata hasara itatokana na transaction utakazokuwa unafanya ukifanya transaction nyingi faida itakuwa juu ukifanya transaction chache faida itakuwa ndogomimi nahitaji kuwa wakala wa maxmalipo..naomba kuelekezwa juu ya upatikanaji wa izo machine...na ufanyaji wake wa kazi...vp juu ya faida zakeee...je napata faida juu ya hasara zake je iko vp
Kama uko Mbeya fanya biashara ya mazao, mchele, maharage na hata Mahindi,au ndizi mfano unaweza kwenda vijijini unanunua mpunga unakoboa unauza mchele.nina km million 1 biashara gan ambayo niazanayo. nipo mby
soko liko wazi na ni kubwa sana sana changamoto kubwa WATU HAWALIPI aidha jamii yetu hawana utamaduni wa kulipa na mfumo woote wa kusaidia kupata haki yako ni DHAIFU SANA RUSHWA , KUPOTEZA MUDA n.k labda na wewe uamue kuwa KIBAKA/JAMBAZI kwa kudai pesa zako LKN baadae itakughalimu utageuziwa kibao wewe ZURUMATIMkuu ningependa kujua zaid juu ya biashara ya Microfinance soko na changamoto zake na pia faida au hasara zake
Habari ndugu, naomba unifahamishe kuhusu biashara ya ngombe hasa hawa....Habari wana JF,
Kichwa cha habari kinajielezea,
Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya vitu nilivyotaja hapo juu usisite kuuliza maana mimi au mtu yeyote atakaye fahamu atakupa majibu yanayohitajika.
Karibuni sana