Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Moja kwa moja twende kwenye mada

Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga, Mafuta,sabuni,nk...

Karibu nipo tayari kushare my experience yangu kwenye hii biashara nayafahamu mengi zaidi na zaidi kwenye hi biashara...

Bidhaa nyingi zinapatikana kwenye viwanda ndipo wanapo nunua hawa matajiri nakuweka kwenye maduka yao ya Jumla

Almost asilimia 98% zinazalishwa hapa hapa Nchini.

Unga wa sembe,unga wa ngano Mfuta yakupikia, Pempers, Sabuni Soft aina zote, chumvi, biscuits, Tomato,majani ya chai,madaftari Aina zote marapa sabauni za unga Aina zote vibiriti nk...

Chamsingi nikuangalia bidhaa zipi utaanza nazo kutokana na mataji wako.

1622200089263.png

 
Wao (wauza maduka ya jumla) bidhaa wanazitoa wapi? Kiwandani au kuna wauzaji wengine wajumla Kuu.
Hapa inategemea unachukua kwa wingi kiasi gani


Kila kiwanda kinauza bidhaa zake kwa kiwango fran


Mfano ukitaka sabuni ya Unga Kuna idadi unatakiwa uifikiee kama huwezi kuifikia basi watakakutaka ukanunue kwa Ajent wao...


Kila kiwanda kina sheria zakee


Naamini umenielewa??
 
Ok Mimi na duka la rejareja Uzi mzuri Sana lakini ningependa tukikuuliza kitu ujibu mpk na Bei


Vipi.mo energy na Malta za mo mbona zimekuwa adimu


Af nasikia na sukari ya TPC Wana mpango wa kufunga kiwanda Chao tuletewe masukari ya uganda ile mweusi haikolei Sasa
 
Moja kwa moja twende kwenye mada

Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga, Mafuta,sabuni,nk...


Karibu nipo tayari kushare my experience yangu kwenye hii biashara nayafahamu mengi zaidi na zaidi kwenye hi biashara...
Mtaji wa angalau kuanzisha Duka la jumla kamili kwenye miji ya kawaida ni sh ngapi . Hii itusaidie kujua kianzio
 
Mtaji wa hii biashara huwa inaanzia kiasi gani
inategemea Sana Sana unataka kuweka biashara ya jumla ya vitu gani

Mfano Unga sabuni mfuta Soda Pemepers Tomato Mafuta Sabuni Maji Safi Hamira Sigara


Hapo nimekutajia vitu baadhi ambavyo vina-link vikiuzwa kwa pamoja na ndio vinawateja wengi

Ukichunguza utagundua almost ya maduka mengi haya ya rejareja basi yanaweka vizi bidhaa kwahiyo basi mzunguko wake utakua wa haraka zaidi nakukufanya mzigo store kwako usikaee sana faster unazunguka na faida unaiyona


Maximum usikose million 18-20


hapa unaweza ukaanza vizuri tu
 
Back
Top Bottom