Wanachukua kiwandani ukienda watakupa maelekezo au watauelekeza kwa maa-jentNilitaka kununua wanaponunua wenye maduka ya kariakoo ni niwe na Bei ya ushindani Zaid mfano madaftari ya msomi
Nimependa setup yaoKenya hy moja kati ya duka kubwa katika mji wa Nairobi linamilikiwa na Wasomali
Ili kuendana na soko hivi unahitaj kama mtaji wa sh ngapi kuweza kufungua duka la jumla atlist faida ionekane?Moja kwa moja twende kwenye mada
Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga, Mafuta,sabuni,nk...
Karibu nipo tayari kushare my experience yangu kwenye hii biashara nayafahamu mengi zaidi na zaidi kwenye hi biashara...
Bidhaa nyingi zinapatikana kwenye viwanda ndipo wanapo nunua hawa matajiri nakuweka kwenye maduka yao ya Jumla
Almost asilimia 98% zinazalishwa hapa hapa Nchini.
Unga wa sembe,unga wa ngano Mfuta yakupikia, Pempers, Sabuni Soft aina zote, chumvi, biscuits, Tomato,majani ya chai,madaftari Aina zote marapa sabauni za unga Aina zote vibiriti nk...
Chamsingi nikuangalia bidhaa zipi utaanza nazo kutokana na mataji wako.
5 milionIli kuendana na soko hivi unahitaj kama mtaji wa sh ngapi kuweza kufungua duka la jumla atlist faida ionekane?
Asante sana mkuu
Shukran sana mkuuUkisha follow link ingia hii sehemu iloyoandikwa Category utakuta list za bidhaa zao
Hapa ndio wanaponunua matajiri nakuja kuuza kwenye maduka yao ya jumla
Wanapata kwa Bei nafuu snaa View attachment 1800463
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow this link to view our catalogue on WhatsApp: Näytä yrityksen Mzuri Sweets Limited katalogi WhatsAppissa