Mimi ni mtaalamu wa afya ya kinywa na meno napatikana Magomeni - Dar es Salaam na Kibaha -pwani
Kama una swali au changamoto yoyote kuhusu kinywa na meno niandikie hapa chini nitajitahidi kujibu kadri ya uwezo wangu.
- Katika vituo hivyo vya kazi pia natoa huduma zifuatazo kwa gharama rafiki kabisa .
- Elimu ya kinywa na meno
- Kuziba meno yaliyotoboka
- Kusafisha meno na kung'arisha meno
- Kupanga meno (braces)
- Kuweka meno bandia (partial/full denture )
- Huduma ya mzizi wa jino (root canal treatment)
- Urembo wa meno
- Veneers, bleaching, crowns and bridges
Kinywa chenye afya, mwili wenye furaha.
View attachment 3117272