Niulize chochote kuhusu biashara ya duka la rejareja

Niulize chochote kuhusu biashara ya duka la rejareja

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Habari wakuu:

Nafanya biashara ya duka la rejareja yapata miaka 6 sasa mafanikio makubwa nimeyapata kupitia hii biashara hakika sijutii kuingia katika hii biashara.

Nakaribisha wana JF kushare nikichokua nacho kupitiaa hii biashara ya duka la rejareja pia nakaribisha wadau wenye uzoefu tubadilishane mawazo kupitiaa hii biashara ya duka la rejareja maarufu duka la mangii.

Karibuu wakuu

1666859440096.png
 
1. Nawezaje kugundua site nzuri kwa biashara hiyo?

2. Vip inawezekana kufanya biashara hiyo bila ushirikina kwa uzoefu wako

3. Mbona kama faida ni kidogo sana mnawezaje kupiga hatua?
 
Back
Top Bottom