Niulize chochote kuhusu biashara ya duka la rejareja

Niulize chochote kuhusu biashara ya duka la rejareja

Habari wakuu:

Nafanya biashara ya duka la rejareja yapata miaka 6 sasa mafanikio makubwa nimeyapata kupitia hii biashara hakika sijutii kuingia katika hii biashara.

Nakaribisha wana JF kushare nikichokua nacho kupitiaa hii biashara ya duka la rejareja pia nakaribisha wadau wenye uzoefu tubadilishane mawazo kupitiaa hii biashara ya duka la rejareja maarufu duka la mangii.

Karibuu wakuu

Kiongoz baadhi ya watu wanaiona hii business kama vile ni business yenye faida ndogo san, kiukweli hawaelewi uhalisia wa hii business, naifanya mkuu na inalipa mnooooo.
 
Shukrani kwa angalizo, umakini kama upi mkuu, unaohitajika??
Umakini wa kutofautisha mtaji na faida Kuna line ndogo Sana inayotofautisha faida na mtaji so usipodhibiti matumizi yako utajikuta umeingia kwenye mtaji halafu mbaya Zaid huwezi kujua hususan ukiwa na mtaji mkubw ila utakuka kugundua vitu vingi vya muhimu vimeisha na huna pesa ya kuchukulia mzigo
 
Hakuna uchawi Wala ndumba nazingatia hzi mbinu
*nafungua mapema nachelewa kufunga
*sikopeshi hata kitu Cha Mia kukopesha nikumfukuza mteja
*kuwa msafi na kupanga vitu vizuri kuhakikisha duka linavutia
*usipende tongoza tongoza wake za watu na wasichana wa mtaani hapo utajitengenezea sifa mbaya
*kuwa na huduma nzuri kwa kila mtu
*hakikisha unakua na bidhaa ambazo zinakutambulisha kuwa dukani kwako pekee iyo bidhaa inapatikana
* tafuta machimbo ya Bei rahisi
Asante
 
Hakuna uchawi Wala ndumba nazingatia hzi mbinu
*nafungua mapema nachelewa kufunga
*sikopeshi hata kitu Cha Mia kukopesha nikumfukuza mteja
*kuwa msafi na kupanga vitu vizuri kuhakikisha duka linavutia
*usipende tongoza tongoza wake za watu na wasichana wa mtaani hapo utajitengenezea sifa mbaya
*kuwa na huduma nzuri kwa kila mtu
*hakikisha unakua na bidhaa ambazo zinakutambulisha kuwa dukani kwako pekee iyo bidhaa inapatikana
* tafuta machimbo ya Bei rahisi
Nakuunga mkono mkuu. Mimi nimejitahidikufanya hivyo hadi nyanya, matembele, gesi, bia, unga, mchele, kvant, vocha, wakala humohumo ndani ya frem moja. Nimeteka huu mtaa[emoji23][emoji23]View attachment 2401745View attachment 2401746View attachment 2401747View attachment 2401748View attachment 2401749View attachment 2401750
IMG_20221029_234705_468.jpg
 
Mauzo yako ya wastani kwa siku ni shingapi mkuu tangu umeanza chaz beezz
watu wanabisha baada ya kusema nimeamza na laki tano labda mnapaswa kutambue tu biashara no location sehem niliyopo ni location nzur tu kuuza laki mbili kushika laki na nusu ni kawaida afu iyo hela ya mauzo unachukua mzigo mwingine unaweka dukani hakikisha unakua na displine ya pesa maana pesa unayouza dukani ni ya mtaji faida yako ni ndogo Sana.
hivyo usijiroge ukaona umeuza laki mbili nawe uchukue laki ukafanye matanuzi mzeee hapo hufiki popote kumbuka tu ukiuza laki mbili kwa siku faida yako yaweza kuwa elf 20000- 25000 inategemea na bidhaa ulizouza siku iyo na pia kila bidhaa iya asilimia ya faida yake
 
Je kama umempa mtu auze vitu ni njia gani rahis ya kumthibit awe makin asipoteze au kukopesha bidhaa bila kukumbuka?
Duhhh yaani hii biashara kumwajiri mtu na kumdhibiti sio rahisi kwakweli unatakiwa wewe usimamie
 
Back
Top Bottom