Nashukuru mkuuu nina kama maswali matatu au nne hivi
1) hostel zipo umbali gani toka chuoni na gharama zake zipoje na nitawezaje pata hostel hapo DUCE je napo report inatakiwa nije na pesa kabisa kwa ajili ya kulipia hostel maana join haijasema chochote kuhusu hostel
2) kuna sehemu kwenye join imeandikww hivi direct cost given to student wakasema stationary ni laki mbili na meal and accomodation milion moja na laki 7 hivi total ikawa milioni na laki tisa kama na 85 hiv nashindwa kuelewa hizo ni anapewa mwanafunzi au mwanafunzi anatakiwa kulipa hapo msaada.....sababu nilion direct cost given to university ilikuwa 77400 hizo nilielewa mwanafunzi anatakiww kulipa during registration
Ni hayo mkuu kaka angu kachaguliwa hapo so nime muwakilisha kwa maswali kachaguliwa BAED