Niulize Chochote kuhusu DUCE

Niulize Chochote kuhusu DUCE

TUAMBIENE jamani kwenye hiyo form ya bank mambo gani ya kuandika mbali na acc no. na amount
 
naomba kueleweshwa.suala la kwenda na vyet.je kama uririst navyo vya kurist unatakiwa uevipeleke au.
 
Naomba kujua...je mmeacha kuiba masink ya kwenye vyoo vya new lecture theathre
 
nataka kujua kama madam vacolavene na mselemu wameacha kunyanyasa wanafunzi?
 
naomba kueleweshwa.suala la kwenda na vyet.je kama uririst navyo vya kurist unatakiwa uevipeleke au.

Ni vyema ukaenda na vyeti vyako vyote tena Original ili kuondoa usumbufu.

ANGALIZO: Result slip zitatumika kwa wale waliomaliza form six mwaka huu tu. Kama umemaliza miaka ya nyuma nenda na cheti kabisa.
 
asante mkuu kwa ushauri wako
 
kwan degree inayotolewa ni yaduce au udsm

Mkuu duce ni college kama ilivyo coet na conas tofauti ni moja tu kwamba duce ipo out of main campus bt wote tuko chini ya prof mkandara, huduma ni zile zile na hata ma lecturers most of them tume share that is why id zetu zimeandikwa udsm, so usiwaze sana karibu chuo kikuu cha dar es salaam duce campus
 
Hallow wana jamvi kwa wale ambao wamechaguliwa kuja kuwa student teachers kama mimi na wale wote wanahtaji kufahamu kuhusu chuo hiki cha Dar Es Salaam University College Of Education(DUCE) nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwajibu. KARIBUNI

Vp kunauwezekano wa kuomba mkopo ukiwa hapo chuoni na kupata 100% kwa bachelor of science with education.
Nimeuliza kwa sababu nilichelewa kurudisha hardcopy ya maombi ya mkopo, hivyo nataka nikifika hapo chuoni nianze mchakato upya.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ni vyema ukaenda na vyeti vyako vyote tena Original ili kuondoa usumbufu.

ANGALIZO: Result slip zitatumika kwa wale waliomaliza form six mwaka huu tu. Kama umemaliza miaka ya nyuma nenda na cheti kabisa.

usisahau pia cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya usajili
 
Back
Top Bottom