Fedora
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 238
- 172
Jina lako na namba yako ya usajili.
Kama tukilipia huku mikoani hiyo namba ya usajili tutaijuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lako na namba yako ya usajili.
Kama tukilipia huku mikoani hiyo namba ya usajili tutaijuaje?
nataka kujua kama madam vacolavene na mselemu wameacha kunyanyasa wanafunzi?
Mi naomba kujua kuna mazoea gani kati ya wasichana wa duce na wanajeshi wa mgulani pale maana kuna dada yangu mwaka jana alipewa mimba na mwanajeshi wa pale na akajifungua kipindi cha ue so akaairisha mwaka na kuna mdogo wangu anakuja duce so nataka nimpe mwangaza kuhusu mahusiano yaliyopo kati ya hao wanajeshi na dada zetu.
Nisaidie tofauti kati ya bsc in education na bsc with education
Maswala ya heslb vp kaka
Taarifa za mikopo vipi?
nahamia hapo mkuu, first year lini mnafungua?wametoa tayar yamebandikwa chuon
Hallow wana jamvi kwa wale ambao wamechaguliwa kuja kuwa student teachers kama mimi na wale wote wanahtaji kufahamu kuhusu chuo hiki cha Dar Es Salaam University College Of Education(DUCE) nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwajibu. KARIBUNI
nahamia hapo mkuu, first year lini mnafungua?
vp madanguro ya karibu huko duce yako sehemu gan!
mkuu yanapatikana kwa wingi temeke sudan ful kujiachia kaz kwako