Niulize Chochote kuhusu DUCE

Niulize Chochote kuhusu DUCE

Ushauri wa bure hakikisha unaenda chuo na pesa ya kutosha kwa ajili ya kulipa ada, direct cost na hostel...pia ya kujikimu kwa siku chache maana hupewi boom hadi ukamilishe usajili, na usajili unakamilika baada ya kulipa kila kitu...

All the best

Umemshauri vizuri....
 
Hallow wana jamvi kwa wale ambao wamechaguliwa kuja kuwa student teachers kama mimi na wale wote wanahtaji kufahamu kuhusu chuo hiki cha Dar Es Salaam University College Of Education(DUCE) nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwajibu. KARIBUNI[/
 
Ushauri wa bure hakikisha unaenda chuo na pesa ya kutosha kwa ajili ya kulipa ada, direct cost na hostel...pia ya kujikimu kwa siku chache maana hupewi boom hadi ukamilishe usajili, na usajili unakamilika baada ya kulipa kila kitu...

All the best

thanks mkuu
 
sasa kama loanbod inanilipia asilimia 100 na ninahtajika kulipa ada ili kukamilisha usajili, je nikilipa na loanbod wakatoa mkopo wao nitarudishiwa ile niliyolipa?
 
Kama loan board wanakulipia 100% huna haja ya kulipa ada...unatakiwa kulipa direct cost na gharama za hostel kama umepangiwa.
Pia kama una bima ya afya ambayo ni valid basi gharama ya direct cost itapungua...
Kama una bima ya afya basi katika direct cost toa 50400 itayobaki ndo utalipa.
kaka lugy
 
Last edited by a moderator:
sasa kama loanbod inanilipia asilimia 100 na ninahtajika kulipa ada ili kukamilisha usajili, je nikilipa na loanbod wakatoa mkopo wao nitarudishiwa ile niliyolipa?

hapo hautalipa hata shilingi ya ada, utakacholipia ni direct coast na hosteli kama umepangiwa
 
sasa kama nikilipa na ada let say kwa semister 1, boom likitoka watanirudishia?
 
JE, wanafunzi wa Duce wameacha kujifanya wanasoma UDSM wakiulizwa mtaani?
 
sasa kama nikilipa na ada let say kwa semister 1, boom likitoka watanirudishia?

Ada iko hivi: mfano course unayosoma ada ni milion moja, labda bodi wanakulipia laki 5, wewe pia unatakiwa kulipa laki tano inayobaki, so unaweza kulipa laki 2.5 kwa kila semister....hiyo hairudishwi.
Maana ya boom ni pesa yako ya kula na vifaa vya stationery...utapewa pesa ya miezi miwili......kama ukiamua kulipa ada kwa pesa ya boom ni juu yako.
Ila kwa mara ya kwanza ni lazima ulipe ada ndo usajiliwe chuo na upewe boom.
So anza kukaba home mapemaaa, kama kukopa kopa ila jua utairudisha kwa kujibana katika pesa yako ya kula....
 
vip wapo ma-lecturer wakuda wengi au?

Ki ukweli ma lectrurer wabanaji wapo lakn nshu hiyo ickutishe kwa sababu ndo chuo chenyewe bt at the end of the day tutatoka na degree, karibu sana tupambane nao
 
hoxtel z mbagala zpo mbagala xehem gan?ni kizuian,rang 3,kiburugwa,mbagala kuu au pahala gan kule mbagala?
 
Back
Top Bottom