Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Hallow wana jamvi kwa wale ambao wamechaguliwa kuja kuwa student teachers kama mimi na wale wote wanahtaji kufahamu kuhusu chuo hiki cha Dar Es Salaam University College Of Education(DUCE) nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwajibu. KARIBUNI
vip gharama za maisha hapo, yaani msosi na etc, pia hostel zipo za kutosha
Nashukuru mkuuu nina kama maswali matatu au nne hivi
1) hostel zipo umbali gani toka chuoni na gharama zake zipoje na nitawezaje pata hostel hapo DUCE je napo report inatakiwa nije na pesa kabisa kwa ajili ya kulipia hostel maana join haijasema chochote kuhusu hostel
2) kuna sehemu kwenye join imeandikww hivi direct cost given to student wakasema stationary ni laki mbili na meal and accomodation milion moja na laki 7 hivi total ikawa milioni na laki tisa kama na 85 hiv nashindwa kuelewa hizo ni anapewa mwanafunzi au mwanafunzi anatakiwa kulipa hapo msaada.....sababu nilion direct cost given to university ilikuwa 77400 hizo nilielewa mwanafunzi anatakiww kulipa during registration
Ni hayo mkuu kaka angu kachaguliwa hapo so nime muwakilisha kwa maswali kachaguliwa BAED

join instruction vp?na jumla ya michango yote ina coxt ngap?pia direct cost ni kiac gan mkuu?naomba ufafanuzi
Direct cost ni 77,400 inabidi ulipe kwanza ndo usajiliwe. Nashauri ulipie mkoani kwako ukija kulipia dar utalala kwenye foleni.
mkuu kama utakuw frexh n2mie join instruction kwenye email ya mdogoang ni selemanisultan@yahoo.com
mkuu simu yangu haina uwezo huo lakn ukipata nafasi ingia kwenye web ya udsm utapata kila kitu
mkuu kama utakuw frexh n2mie join instruction kwenye email ya mdogoang ni selemanisultan@yahoo.com
asante mkuu tusaidiane kuwajibu hawa walimu watarajiwa
wakuu unapitia procedure gan kulipia huku mkoani! yan
Nimeshakutumia mkuu kwenye hiyo email hebu check kijana afu nambie kma umepata