jafarikyaka
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 378
- 269
- Thread starter
-
- #21
Ileje kuna makabila mawili makubwa WALAMBYA na WandaliWandali wanasalimiaje
Panandi mwanawakyala ..ulimukhafhu?Mwalamusha
Wanagawa matunda kimasihara Sana.Mwagona ndo salamu ya wa ndali ileje Ina makabila mawili wandali na walambia Wana wake wandali ni wavumiluvu Sana kwenye ndoa na Wanaishi popote pale na mwanaume wa kabila lolote mwanamke wa kindali una weza mpiga kila siku lakini haondoki ila sio ila sio wazuri Sana kwa sura na shep wengi woa ni weusi wapole sio wenye tamaa ya pesa
Hapana...labda kwa waliozunguka ..
Ni kweli mpaka leo watu Wa huku ni very primitive..Nasikia Ileje tokea ikiwa mkoa wa mbeya ndio wilaya iliyo nyuma kimaendeleo zaidi je ni kweli
NINI MAANA YA TAKATIFU?Mimi nataka kujua kwa nini umeiita wilaya takatifu.
NINI MAANA YA TAKATIFU?
Ndi mukafuPanandi mwanawakyala ..ulimukhafhu?
Kapologwe tukuyu pale nimefika paka kwenye utepu tepu pale nimevukaNatamani kufahamu kuhusu Daraja la Kiteputepu....
Je ni kweli waandali walikuwa wanaluka Mto Kiwira kuja wilaya ya Rungwe???
NYELA LUKOMU.
Kaporogwe inapatikana Undali ama Tukuyu?????
Swadakta haujakosea...suluhisho pekee LA wilaya hii ni kuwahamasisha wazawa warudi makwao wafanye maendeleo au wawekeze.(WANDALI WENGI WAMESOMA ILA WABISHI KURUDI KWAO WAKIFIKA MJINI WANABADILISHA MAKABILA).ileje ni miongoni mwa wilaya zilizochoka sana i.e ni miongoni mwa wilaya zilizo nyuma kimaendeleo. Unalizungumziaje hili?
Uli koki?Ndi mukafu
MbwaniUli koki?
Asante kwa majibu mujarabu. Vipi kuhusu upatikanaji wa huduma za kijamii hapo wilayani na ni fursa gani za kiuchumi/biashara zinazopatikana kwa mtu anayetaka kuja kuwekezaSwadakta haujakosea...suluhisho pekee LA wilaya hii ni kuwahamasisha wazawa warudi makwao wafanye maendeleo au wawekeze.(WANDALI WENGI WAMESOMA ILA WABISHI KURUDI KWAO WAKIFIKA MJINI WANABADILISHA MAKABILA).
Wageni waje wengi wafanye mambo mapya.
Labda kwakuwa kuna kijibarabara tumepewa tunaweza kuona mabadiliko Ila kusema kweli Ileje bado ni PORI.
UKUSANYAJI WA KODI PIA NI MGUMU MNO KULINGANA NA JIOGRAFIA YETU SEHEMU NYINGI NI MILIMA mbali na IKUMBILO,ISONGOLE,ITUMBA.
1.Kilimo cha umwagiliajiAsante kwa majibu mujarabu. Vipi kuhusu upatikanaji wa huduma za kijamii hapo wilayani na ni fursa gani za kiuchumi/biashara zinazopatikana kwa mtu anayetaka kuja kuwekeza
PanandiMwalamusha
Okay.... Nakusubiria mkuu... Unitag ukiiweka stori yake... Niko interested kujua habari za huyu mbunge wa kwanza wa Ileje... Osiah Mbembela.Alikuwa anaitwa OSIAH ABENEZALA MBEMBELA
Hakuwa waziri alikuwa NAIBU WAZIRI WA ELIMU
ni mbunge Wa kwanza Wa wilaya ya Ileje mwaka 1975-1985. Kwa sasa ni marehemu
Ila nitakuletea full story soon..coz alistaajabisha wengi