Niulize chochote kuhusu Ileje Wilaya ya Mkoa wa Songwe

Niulize chochote kuhusu Ileje Wilaya ya Mkoa wa Songwe

Wandali wanasalimiaje
Ileje kuna makabila mawili makubwa WALAMBYA na Wandali

Wandali wanasalimiana MWALAMSHA? Wakujibu atajibu PANANDI kama hamkuonana kwa siku Hiyo.
Ila WALAMBYA hisalimiana MWAGHOONAA?

Ila kwa sasa huwezi kujuwa kipi kilambya na kipi ni kindali kwa sababu wandali wengi wameoa/ olewa na walambya hivyo wamepoteza lugha yao ya asili.
 
Mwagona ndo salamu ya wa ndali ileje Ina makabila mawili wandali na walambia Wana wake wandali ni wavumiluvu Sana kwenye ndoa na Wanaishi popote pale na mwanaume wa kabila lolote mwanamke wa kindali una weza mpiga kila siku lakini haondoki ila sio ila sio wazuri Sana kwa sura na shep wengi woa ni weusi wapole sio wenye tamaa ya pesa
Wanagawa matunda kimasihara Sana.
 
Natamani kufahamu kuhusu Daraja la Kiteputepu....

Je ni kweli waandali walikuwa wanaluka Mto Kiwira kuja wilaya ya Rungwe???
NYELA LUKOMU.

Kaporogwe inapatikana Undali ama Tukuyu?????
Kapologwe tukuyu pale nimefika paka kwenye utepu tepu pale nimevuka

Kuna maajabu kidogo kuna pango pale maji yanamwagika kutoka juu yani pazuri kweli ila story zake sio nzuri ingawa sijashuhudia ila inasemekana kuna mauza uza pale
 
ileje ni miongoni mwa wilaya zilizochoka sana i.e ni miongoni mwa wilaya zilizo nyuma kimaendeleo. Unalizungumziaje hili?
 
ileje ni miongoni mwa wilaya zilizochoka sana i.e ni miongoni mwa wilaya zilizo nyuma kimaendeleo. Unalizungumziaje hili?
Swadakta haujakosea...suluhisho pekee LA wilaya hii ni kuwahamasisha wazawa warudi makwao wafanye maendeleo au wawekeze.(WANDALI WENGI WAMESOMA ILA WABISHI KURUDI KWAO WAKIFIKA MJINI WANABADILISHA MAKABILA).

Wageni waje wengi wafanye mambo mapya.

Labda kwakuwa kuna kijibarabara tumepewa tunaweza kuona mabadiliko Ila kusema kweli Ileje bado ni PORI.

UKUSANYAJI WA KODI PIA NI MGUMU MNO KULINGANA NA JIOGRAFIA YETU SEHEMU NYINGI NI MILIMA mbali na IKUMBILO,ISONGOLE,ITUMBA.
 
Asante kwa majibu mujarabu. Vipi kuhusu upatikanaji wa huduma za kijamii hapo wilayani na ni fursa gani za kiuchumi/biashara zinazopatikana kwa mtu anayetaka kuja kuwekeza
 
Asante kwa majibu mujarabu. Vipi kuhusu upatikanaji wa huduma za kijamii hapo wilayani na ni fursa gani za kiuchumi/biashara zinazopatikana kwa mtu anayetaka kuja kuwekeza
1.Kilimo cha umwagiliaji
2.Misitu
3.ununuzi Wa mazao
4.usafirishaji
 
Huyo Osiah Mbembela alikuwa na maajabu gani? napendekeza tumia mfano wa movie za kivita za wavietnam kuelimisha kuhusu aina ya daraja linaloitwa kiteputepu
 
Unanikumbusha Ileje Day Secondary School , nilitoka azania to Ileje advance
 
Alikuwa anaitwa OSIAH ABENEZALA MBEMBELA
Hakuwa waziri alikuwa NAIBU WAZIRI WA ELIMU
ni mbunge Wa kwanza Wa wilaya ya Ileje mwaka 1975-1985. Kwa sasa ni marehemu
Ila nitakuletea full story soon..coz alistaajabisha wengi
Okay.... Nakusubiria mkuu... Unitag ukiiweka stori yake... Niko interested kujua habari za huyu mbunge wa kwanza wa Ileje... Osiah Mbembela.
 
Back
Top Bottom