Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Inabidi sisi wamiliki wa pikipiki na bajaji tuanzishe thread yetu
 
Jina Lenyewe la oil ni TAKUMI,siwezi nunua kabisa oil ya dizaini hio ambayo hata reputation yake huku mtaani haijulikani kabisa.
Ila hizi oil za kichina hizi...
Kuna watu nilisikia wakilalamika kuna oil feki zinaungua na kuisha au zina evaporate....
Sijajua kama kuna ukweli juu ya hili....
kama hayo maelezo ni kweli itakuwa ndiyo kilichokukuta...
 
Jina Lenyewe la oil ni TAKUMI,siwezi nunua kabisa oil ya dizaini hio ambayo hata reputation yake huku mtaani haijulikani kabisa.
Hilo jina hata mimi limenishtua sana....sijawahi kulisikia...
Bora angenunua Onyx za hapa hapa nyumbani...
 
Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari [emoji23]
Ila hizi oil za kichina hizi...
Kuna watu nilisikia wakilalamika kuna oil feki zinaungua na kuisha au zina evaporate....
Sijajua kama kuna ukweli juu ya hili....
kama hayo maelezo ni kweli itakuwa ndiyo kilichokukuta...
 
Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari [emoji23]
Bora ununue kutoka Japan lkn inauzwa na hao wauza magari wenyew mfano Toyota na Nissan wana oil zao
 
Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari [emoji23]
Unajua siku hizi kuna wahuni wapo hapo china wanachakachua vitu balaa....

Ni afadhali kutumia total au Castrol au oryx ambazo utanunua moja kwa moja kwwnye vituo vyao vya mafuta au kwenye maduka yanayoeleweka...
 
Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari [emoji23]
Kumbuka kuwa wachina wengi wanaouza vitu feki hutumia lebo ya "Made in Japan"; na vile vile wakati mwingine hutumia jina la brand ya kampuni nyingine kabisa.
 
Total engine oil 5w30 wanauza 12000 kwa Kita moja pale fuel station mlimani city.
Alikuwa anauza TZS 110,000.00 lakini tukapunguziana mpaka 100,000.00. Ni Mza pale Sinai. Kuna mwingine alikuwa ananitafutia aina ya TOTAL mjini kati, mwenye nayo alikuwa anauza TZS 20,000/L na mbaya zaidi akawa amefunga yuko mbali.
 
Nisikudanganye, jibu la swali hilo silijui ingawa pia naamini huenda haiwezekani kwa sababu nadhani injini hizo zina mounting zinazotofautiana. Kwa hiyo hata ukifanikiwa kufanya hivyo, unaweza kukuta unasababisha gari kuwa na vibrations sana.
Na je engine ya ist kwenye passo inawezekana!
 
Shukrani san mkuu kwa kunipa jibu zuri ndio niko college mung azidi kukubariki kwa kutuelimisha Na usichoke kutujibu maswal yetu
 
Mkuu engine gani nzuri kati ya 4K,5K na 7K za petrol kwenye townace truck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…