Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hizi oil za kichina hizi...
Kuna watu nilisikia wakilalamika kuna oil feki zinaungua na kuisha au zina evaporate....
Sijajua kama kuna ukweli juu ya hili....
kama hayo maelezo ni kweli itakuwa ndiyo kilichokukuta...
Hilo jina hata mimi limenishtua sana....sijawahi kulisikia...Jina Lenyewe la oil ni TAKUMI,siwezi nunua kabisa oil ya dizaini hio ambayo hata reputation yake huku mtaani haijulikani kabisa.
Ila hizi oil za kichina hizi...
Kuna watu nilisikia wakilalamika kuna oil feki zinaungua na kuisha au zina evaporate....
Sijajua kama kuna ukweli juu ya hili....
kama hayo maelezo ni kweli itakuwa ndiyo kilichokukuta...
Bora ununue kutoka Japan lkn inauzwa na hao wauza magari wenyew mfano Toyota na Nissan wana oil zaoHii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari [emoji23]
Unajua siku hizi kuna wahuni wapo hapo china wanachakachua vitu balaa....Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari [emoji23]
Kumbuka kuwa wachina wengi wanaouza vitu feki hutumia lebo ya "Made in Japan"; na vile vile wakati mwingine hutumia jina la brand ya kampuni nyingine kabisa.Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari [emoji23]
5w30 kampuni yoyote inayoaminika kulingana na mfuko wako mfn total 60,000 litre4 castrol 100,000 oryx 55000 kazi kwakoNi oil gani inafaa kwa diff RAV 4 KILLTIME
Alikuwa anauza TZS 110,000.00 lakini tukapunguziana mpaka 100,000.00. Ni Mza pale Sinai. Kuna mwingine alikuwa ananitafutia aina ya TOTAL mjini kati, mwenye nayo alikuwa anauza TZS 20,000/L na mbaya zaidi akawa amefunga yuko mbali.
Na je engine ya ist kwenye passo inawezekana!Nisikudanganye, jibu la swali hilo silijui ingawa pia naamini huenda haiwezekani kwa sababu nadhani injini hizo zina mounting zinazotofautiana. Kwa hiyo hata ukifanikiwa kufanya hivyo, unaweza kukuta unasababisha gari kuwa na vibrations sana.
Gharama za kuchakachua engine ya ist ikae kwenye passo si bora uuze hiyo passo uongezee hela yako ununue ist hata mkononi kwa mtu yenye hali nzuri..?Na je engine ya ist kwenye passo inawezekana!
5w30 kampuni yoyote inayoaminika kulingana na mfuko wako mfn total 60,000 litre4 castrol 100,000 oryx 55000 kazi kwako
Differential......hapa inatakiwa oil nzito..Unajua maana ya diff?
Shukrani san mkuu kwa kunipa jibu zuri ndio niko college mung azidi kukubariki kwa kutuelimisha Na usichoke kutujibu maswal yetuHaya ni maswali ya darasani zaidi ya kiufundi; vipi uko college? Vacuum ni mvuto wa hewa kutoka nje kuingia kwenye intake manifold, hewa ya nje inakuwa na pressure kubwa kuliko kwenye intake manifold, hivyo kwa kutumia Bernoulli's principle, hewa ya nje inaingia ndani ya intake manifold yenyewe kutokana na ptofauti za mgandamizo (pressure), throttle valve ni vali inayodhibiti kiasi cha hewa inayoingia kwenye intake manifold, turbocarger ni turbine inayogandamiza na kusukuma hewa nyingi kwenye combustion chamber kuhakikisha kuwa mafuta yote yanaungua vizuri.
Kama unataka kujua theory juu ya ufanyaji kazi wa injini, kuna vitabu vingi, ila kitabu kimoja ambacho ni chepesi sana kuelewa ambacho ningekushari uanze nacho ni hiki hapa
![]()
Introduction to Internal Combustion Engines
Now in its fourth edition, Introduction to Internal Combustion Engines remains the indispensable text to guide you through automotive or mechanical engineering, both at university and beyond. Thoroughly updated, clear, comprehensive and well-illustrated, with a wealth of worked examples and...books.google.com
PDF scan yake inapatikana hapa
Mkuu engine gani nzuri kati ya 4K,5K na 7K za petrol kwenye townace truck
Uzuri kwa maana gani