Engine gearbox mount zina tatizo, niliwahi kuwa na shida kama hiyo, nikapeleka kwa fundi akaona mounting ya gearbox imekufa hivyo tukazitoa zote na kufunga mpya, hadi leo sijasikia hiyo kitu tena.Mkuu km ulivyoeleza...
Nimebadili transmission fluid type iv tena ile ya toyota lkn bado nasikia mshindo.
Fundi kasema itakua gear mount imekufa....
Kichuguu bado tatizo lashindo lipo palepale baada ya kubadili oil
Timing belt unazoweka ni genuine au ni hizi za kawaida made in China?habari wakuu! nina tatizo la timing belt kukata mara kwa mara kwenye gari yangu Toyota noah sr40 naombeni ushauri wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikitika kukuambia engine ya hii gari imekufa.Ni cylinder head gasket kuchoka au cylnder head yenyewe imepasuka; huo moshi mweupe unatokana na maji kuingia ndani ya cylinder na kuchanganyikana na mafuta wakati kuchomwa, na hivyo mafuta hayachomwi sawasawa ndipo unapata moshi mweupe. Peleka kwenye computer ikusomee hiyo check engine light ina maana gani. Bila shaka utaambiwa kitu kinachohusiana na ama engine misfire au kiwango cha oxygen kwenye exhaust fumes
Kuna bearing hutumika kama timing belt tensioner jaribu kuizungusha kwa mkono uone kama inazunguka kwa uhuru na bila kelelehabari wakuu! nina tatizo la timing belt kukata mara kwa mara kwenye gari yangu Toyota noah sr40 naombeni ushauri wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kwenda mbali kubadil gear box ungeanza na maeneo yafuatayo lazima moja wapo lina shida...Wakuu nnakigari changu Aina ya Verrosa , Kuna muda inakosa nguvu kabisa, Sasa wataalam wakanishauri nibadili gear box, nikabadili lakini bado tatizo Hilo naliona bado linarejea.
Ushauri wazee
Sent using Jamii Forums mobile app