Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
- Thread starter
- #601
Bavaria,
Ni cylinder head gasket kuchoka au cylnder head yenyewe imepasuka; huo moshi mweupe unatokana na maji kuingia ndani ya cylinder na kuchanganyikana na mafuta wakati kuchomwa, na hivyo mafuta hayachomwi sawasawa ndipo unapata moshi mweupe.
Peleka kwenye computer ikusomee hiyo check engine light ina maana gani. Bila shaka utaambiwa kitu kinachohusiana na ama engine misfire au kiwango cha oxygen kwenye exhaust fumes