Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Bavaria,
Ni cylinder head gasket kuchoka au cylnder head yenyewe imepasuka; huo moshi mweupe unatokana na maji kuingia ndani ya cylinder na kuchanganyikana na mafuta wakati kuchomwa, na hivyo mafuta hayachomwi sawasawa ndipo unapata moshi mweupe.

Peleka kwenye computer ikusomee hiyo check engine light ina maana gani. Bila shaka utaambiwa kitu kinachohusiana na ama engine misfire au kiwango cha oxygen kwenye exhaust fumes
 
Mkuu km ulivyoeleza...
Nimebadili transmission fluid type iv tena ile ya toyota lkn bado nasikia mshindo.

Fundi kasema itakua gear mount imekufa....

Kichuguu bado tatizo lashindo lipo palepale baada ya kubadili oil
Engine gearbox mount zina tatizo, niliwahi kuwa na shida kama hiyo, nikapeleka kwa fundi akaona mounting ya gearbox imekufa hivyo tukazitoa zote na kufunga mpya, hadi leo sijasikia hiyo kitu tena.

Ni kero sana unatoa P kwenda R unasiki mshindo hadi gari inashtuka.
 
Mkuu naomba kuuliza ilo gari kuna uwezekano wakubadilisha Engine na gear box kisha kuweka Engine ya gari ndogo kwamfano Toyota Corola? Naomba unijuze tafadhali.
IMG_20200213_185213.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni cylinder head gasket kuchoka au cylnder head yenyewe imepasuka; huo moshi mweupe unatokana na maji kuingia ndani ya cylinder na kuchanganyikana na mafuta wakati kuchomwa, na hivyo mafuta hayachomwi sawasawa ndipo unapata moshi mweupe. Peleka kwenye computer ikusomee hiyo check engine light ina maana gani. Bila shaka utaambiwa kitu kinachohusiana na ama engine misfire au kiwango cha oxygen kwenye exhaust fumes
Nasikitika kukuambia engine ya hii gari imekufa.

Nimeagiza mpya toka Japan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi Prado kula mafuta yenye injini ya 3rz, inakula wastani wa lita 5 kwa hapa mjini dar, je ni sawa au kuna shida?

NB : nimebadilisha injection na fuel pump lakini bado haijabadili ulaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafundi wengi huwa wanashauri kuondoa thermostat kwenye gari kutokana na hali ya hewa ya joto ya huku Je kuna ulazima wa kufanya hivyo?
 
Wakuu nnakigari changu Aina ya Verrosa , Kuna muda inakosa nguvu kabisa, Sasa wataalam wakanishauri nibadili gear box, nikabadili lakini bado tatizo Hilo naliona bado linarejea.
Ushauri wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toyota RAV4 2006 model DBA-ACA36W AWD engine inakula oil na hamna sehemu inavuja. Approximately 500-800km unakuta imepungua kiasi flani. Tatizo litakua nini na solution ni nini?
 
Wakuu nnakigari changu Aina ya Verrosa , Kuna muda inakosa nguvu kabisa, Sasa wataalam wakanishauri nibadili gear box, nikabadili lakini bado tatizo Hilo naliona bado linarejea.
Ushauri wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kwenda mbali kubadil gear box ungeanza na maeneo yafuatayo lazima moja wapo lina shida...

...fuel filter imejaa uchafu hivyo mafuta hayaendi ya kutosha kwenye injectors.

....fuel pump/ fuel pressure regulator yako imeanza kufa hivyo injectors hazipati mafuta yenye pressure ya kutosha...

...injectors ni chafu sana haziruhusu mafuta ya kutosha kuingia kwenye combustion chamber..

....air filter yako imechafuka sana haipitishi hewa ya kutosha..

....kama unapata check engine light, fanya diagnosis huenda kuna sensor ina shida may be MAF au O2 sensor

....Spark plugs zimechoka sana..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu, me sio mtaalamu sana kwenye haya mambo, kuna Toyota costa iilipata ajali na ina tatizo kwenye Rejeta. Je naweza tengeneza hiyo Rejeta au mpaka nitafute mpya. Natanguliza shukrani.
 
Boeing 747, Kuna fundi alinambia bwana hapo we badili Engine.....aisee binafsi Nkaona engine inahusika Nini na Gari kukosa nguvu, !!!! Nadhani Ni kifaa na sio JIKO Zima, sababu linawaka fresh, natembea nalo Moshi, lushoto Dar korogwe Mtwara. Sasa unaponambia Engine nakuwa sikumwelewa kabisaaaaa. Asante Kaka Mkubwa ngoja niifanyie kazi nione mwisho wake nikishindwa ntaitupa Kimara makumbusho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom