Naomba nikujibu ni kwamba kama gari yako ina mfumo wa turbo then better ukitembea umbali mrefu ukishafika subiria kidogo dakika at 10 hadi 15 ndipo uizime....Ningependa kujua je kuna ulazima wa gari iliyotembea umbali mrefu kuachwa katika idle position kwa muda fulani kabla ya kuzimwa?
Na kama ulazima upo, gari iwe udle kwa mda gani, na baada ya kutembea kwa umbali kuanzia km ngapi/masaa mangapi?
Nenda Geartech Performance wapo Kijitonyama. Hapo utakutana na mjapani mwenyewe bingwa wa kufanya modifications, mapping za gari mbalimbali.Chief samahani, naweza funga engine ya Mercedes Benz 102 kwenye cresta gx 100?
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
Thanks mkuu. Itabidi nifanye hiiKina fobs ambazo ni programmable na kuna ambazo siyo programmable. Kama yako siyo programmable, una kazi kuwa sama ya kutafuta fob nyingine inaiyfanana kabisa, ila kswa babu za kiuslama, unaweza kukuta fob inayofanana na yako iko continent nyingine kabisa. Progrmmable ni raisi sana, wewe nunua yoyote ile umplekee mwenye compute ya kuprogram hizo fobs, holla!
Peleka wakupigie computer scan. Kuna sababu nyingie sana zinazosbabisha taa kuwaka; nyingie haziathiri injini kabisa na nyingine ni hatari sana kwa gari lako.Mkuu gari inawasha taa ya check ingine lakini ukizima gar na kuiwasha ukatembea kama km1 inawaka tena taa shida itakua n nn?
Habari mkuu,
Naomba kujua, gari yangu ilikaa bila kufanya kazi kwa miaka2 nimekuja kuiwasha naona rivers inakoswa nguvu .
Tatizo ni nini?
Msaada tafadhari.
Suspect mkubwa ni kuwa huenda alternator yako imekufa; waambie mafundi wakague alternator yako kwanza kabla ya kuanza kuingia mambo mengine ya gharama kubwa. Kama siyo alternator yenyewe, huenda mkanda unaoendesha alternator yenyewe umelegea ingawa hili likitokea utakuwa unaskika mlio wa mkanda kuteleza.Mkuu salama?
Nina gari Suzuki grand escuodo ya 2001 H27. Ilianza tatizo la kutowaka taa ya 4WD ukiingiza, fundinakaunga direct. Baadae tena silencer inakuwa chini kila mara hata ukiiongezea, tena ikiwashan AC inashuka badala ya kupanda, tatizo linaongezeka kila kukicha, mafundi wananiambia wakachezea na control box kuna umeme hauji eti kwenye sensor.
Pia inapoteza nguvu, hili huenda kwa ajilibya catalytic converter kutolewa unga niliwahi kukuuliza sijapata nyingine. Je, shida ya rpm kushuka hadi gari kuwa inazima nini tatizo?
Transmission. Inawezekana kabla ya gari kusimama lilikuwa limeshakula sana clutch plates za transmission na sasa baada ya kukaa, kuna plates zilikauka na hivyo hazishiki tena. Unahitaji kukaguliwa transmission yako yote; njia ya kuanzia ni kuweka mafuta mapya ya transmission, lakini jibu halisi ni pale transmission yote itakapoguliwa
Clutch ya manual ikifa itakusababisha uwe na ugumu wa ku-engage gia zako tu lakini ukishengage, gari litakwenda tu; na manual zina clutch plate moja tu. Ukijaribu kubadili gia utasikia kelele za mkwaruzo. Ndani ya automatic transmission kuna clutch plates nyingi sana kuliko gari ya manual, kila namba ya gia ina clucth plates zake.Gari yangu ni automatic, situmii clutch, ni mark2 vvti mkuu. Labda ckujiekeza vzr, harafu nguvu inakosekana kwa rivers tu, lakini mbele haina tatizo.
Inawezekana alternator i fail na gari iwake niwashe taa si betri ndio itatumika? Na temp itapanda?Suspect mkubwa ni kuwa huenda alternator yako imekufa; waambie mafundi wakague alternator yako kwanza kabla ya kuanza kuingia mambo mengine ya gharama kubwa. Kama siyo alternator yenyewe, huenda mkanda unaoendesha alternator yenyewe umelegea ingawa hili likitokea utakuwa unaskika mlio wa mkanda kuteleza.
Nimekupa ushauri kulingana uzoefu wangu, usipokubaliana nao basi achana nao hasa ukizingatia kuwa sijakagua gari lako. Betri huwa inajaza nguvu kubwa sana ambayo hukatwa mara moja baada ya gari kustati.Inawezekana alternator i fail na gari iwake niwashe taa si betri ndio itatumika? Na temp itapanda?
Kiongozi sijakataa ushauri ni mawazo nilikuwa nawaza, na huenda kuna ukweli maana taa za fog zimekuwa mara siwake mara zizime, asubh gari in start fasta ila baada ya kuendesha inasumbua mpaka ukanyagie.Nimekupa ushauri kulingana uzoefu wangu, usipokubaliana nao basi achana nao hasa ukizingatia kuwa sijakagua gari lako. Betri huwa inajaza nguvu kubwa sana ambayo hukatwa mara moja baada ya gari kustati. Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa"katauti" ili injini ijiendeshe yenyewe kutoka kwenye alternator; siku hizi computer ya injini ndiyo inayokata betri. Kama hubaliani nami jaribu kutafuta sehemu nyingine jibu sahihi ila uhakikishe kuwa mtu anakagua gari lako phyisically.
ndiyo; tena sana. zibadilishe hizo spark plugs na injector nozels ambazo hazifanyi kazi. Zitakuletea matatizo makubwa sana kwnye injini ako hukombeleni.Nimetest spark plag mbili kwenye gari hazichomi,nikatest na nozeli mbili za plag hizo hazifanyi kazi pia.Swali he hii linaweza kuwa tatizo la ulaji wa mafuta kiongozi?
Sawa mkuundiyo; tena sana. zibadilishe hizo spark plugs na injector nozels ambazo hazifanyi kazi. Zitakuletea matatizo makubwa sana kwnye injini ako hukombeleni.