Habari wadau
Nina Rav 4 kilitime yangu 1zz engine nimenotice manually kwa kuangalia kwenye oil dipstick kuwa oil inapungua plus, ukipiga race(acceleration) moshi mweupe unatoka kwenye tailpipe.
Hapa nafikiria kufanya overhaul japo sasa kila nikifanya research na nimpe fundi gani aifanye hiyo kazi naona kama haitakua long term solution, kuna mwenye ushauri mzuri zaidi ya kufanya overhaul. maana pia, nime google sana nimeona white smoke ni byproduct ya leakage ambayo inaweza ikawa inatokea kwenye head gasket au piston ring,
Hivyo basi kuna sehemu pia nimeona ukifanya overhaul ya full gasket, unaweza ukawa umetibu kwa kiasi kikubwa leakge ya oil. Pia nimeona ukitumua seal foams,kama plugs zime stuck inasaidia kutoa contamination na kurudisha performance ya gari.
All in all, gari yangu bado engine ina performy vizuri, na hakuna signal yoypte inayoonekana kwenye dashboard,. JE, nifanye nini sahihi ili nitatue taizo la oil consumption+white smoke.
Asanteni,