Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hapa muhimu. Kuna tatizo gani ikiwa nitawasha gari AC au Radio ipo on? Binafsi huwa najisahau sana coz AC na Radio vipo on 24/7.swali la kwanza: inawezekana, ingawa itetegemea unatumia mafuta ya aina gani,na unakwenda umbali wa muda mangapi. Usitumie Mafuta yenye smoke point ndogo na viscosity ndogo!
swali la pili: jibu ni ndiyo iwapo alternator yako ni nzuri. engine zote huwa hazitumia battery, bali wakati wa kustart tu. Baada ya hapo umeme wote unaohitajiwa na gari hutoka kwenye alternator. Ndiyo maana unashauriwa wakati unastart injini vitu vyote vya umeme viwe OFF: hasa taa, AC, radio, seat heater, rear window defrogger, na wiper.