kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 400
- 513
Kiukweli sasa hivi oil zimekua nyingi sana mtaani, na hii yote inasababishwa na soko huru lililopo hapa nchini na uepesi wa kuagiza mzigo nje ya nchi hasa Dubai, na kwa kuzingatia uepesi wa Bei unaopendwa na watumiaji wengi wa magari hapa nchini imesababisha hata waagizaji wa oil nao kununua masokoni kile Cha unafuu kuja kuuza bila kuangalia ubora wa oil iliyotengenezwa, sasa Kama muuzaji wa oil ambae Nina miaka 3 hivi sasa na kwa ushauri wangu, ukiachana na oil zinazotengenezwa na watengenezaji wenyewe wa magari mfano Toyota, Nissan,BMW Benz nk zifuatazo ni kampuni angalau zenye oil nzuri na zilizokidhi ubora wa kimataifa wa kutumika kwenye magari yoyote na usipate shida, nitataja kuanzia ya Kwanza kwa uboraThen.... Kwenye suala la oil za gari zenye mileage 50,000 to laki. Ukiacha hizi 5 au 10. W 30. Kuna kingine cha kuzingatia kwenye aina ya kampuni za oil maana zimekuwa nyingi saana na bei tofaut ila zoote number sawa tu.
Nisaidieni kampuni bora angalau... Ukiachana na ile ya toyota yenyewe...ya kopo la bati.!?
01 liquil Molly made from German
02 Castrol oil made from United kingdom
03 Mobil 1 oil from American
04Total oil made from France
05puma oil from puma company made in UK
06 Oryx oil from Swiss
07 Atlantic oil from California hivyo ukitaka gari yako ilindwe na angalau ukae nae mda mrefu jaribu kutumia vilainishi kutoka miongoni mwa kampuni zilizopo hapo juu. Tahadhari huo ni ushauri tu na maamuzi ya kuilinda gari au mtambo wako uko mikononi mwako na usisahau kwenye products ukikutana na msemo huu "the higher the price the higher the product". Hizo zote Bei yake imesimama kidogo
Ushauri wa oil sahihi kwa gari yako +255719263074 Mikocheni shoppers dsm