Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Then.... Kwenye suala la oil za gari zenye mileage 50,000 to laki. Ukiacha hizi 5 au 10. W 30. Kuna kingine cha kuzingatia kwenye aina ya kampuni za oil maana zimekuwa nyingi saana na bei tofaut ila zoote number sawa tu.

Nisaidieni kampuni bora angalau... Ukiachana na ile ya toyota yenyewe...ya kopo la bati.!?
Kiukweli sasa hivi oil zimekua nyingi sana mtaani, na hii yote inasababishwa na soko huru lililopo hapa nchini na uepesi wa kuagiza mzigo nje ya nchi hasa Dubai, na kwa kuzingatia uepesi wa Bei unaopendwa na watumiaji wengi wa magari hapa nchini imesababisha hata waagizaji wa oil nao kununua masokoni kile Cha unafuu kuja kuuza bila kuangalia ubora wa oil iliyotengenezwa, sasa Kama muuzaji wa oil ambae Nina miaka 3 hivi sasa na kwa ushauri wangu, ukiachana na oil zinazotengenezwa na watengenezaji wenyewe wa magari mfano Toyota, Nissan,BMW Benz nk zifuatazo ni kampuni angalau zenye oil nzuri na zilizokidhi ubora wa kimataifa wa kutumika kwenye magari yoyote na usipate shida, nitataja kuanzia ya Kwanza kwa ubora
01 liquil Molly made from German
02 Castrol oil made from United kingdom
03 Mobil 1 oil from American
04Total oil made from France
05puma oil from puma company made in UK
06 Oryx oil from Swiss
07 Atlantic oil from California hivyo ukitaka gari yako ilindwe na angalau ukae nae mda mrefu jaribu kutumia vilainishi kutoka miongoni mwa kampuni zilizopo hapo juu. Tahadhari huo ni ushauri tu na maamuzi ya kuilinda gari au mtambo wako uko mikononi mwako na usisahau kwenye products ukikutana na msemo huu "the higher the price the higher the product". Hizo zote Bei yake imesimama kidogo
Ushauri wa oil sahihi kwa gari yako +255719263074 Mikocheni shoppers dsm
 
Mkuu nauliza oil engine nzuri ya Carina Ti iliyotembea zaid ya km laki mbili
 
Mkuu nauliza oil engine nzuri ya Carina Ti iliyotembea zaid ya km laki mbili
Sijajua hali ya injini yako ikoje, ila kwa harsharaka tumia oil yenye viscosity rating ya 20w-50 ila isiwe ya GP, au mogas, lake oil, au Oryx...
 
Sijajua hali ya injini yako ikoje, ila kwa harsharaka tumia oil yenye viscosity rating ya 20w-50 ila isiwe ya GP, au mogas, lake oil, au Oryx...
Kwenye Oryx nakukatalia mkuu hiyo oil ipo kwenye kampuni 10 Bora zinazosalisha vilainishi vyenye ubora duniani
 
Kwenye Oryx nakukatalia mkuu hiyo oil ipo kwenye kampuni 10 Bora zinazosalisha vilainishi vyenye ubora duniani
Oryx hii ya Tanzania ni poor... It has less detergents hivo inatenegeza carbons nyingi kwenye injini.. hivo kupelekea matundu ya oil kwenye piston kuziba... Hii with time huleta tatizo la injini kuanza kula oil..

Tena kama mtu anagari yenye injini ya GDI, au Turbo ndo akimbie kabisa hizo oils.
 
Hakuna oil ya Oryx inayotengenezwa hapa nchini aliekuaminisha kakupoteza
 
Habari wakuu
Gari yangu tangu juzi Ac haifanyi kazi nikiiwasha na gari inatembea kama kawaida, ila ukipiga resi ndio pipe za Ac zinaleta ubaridi...ushauri wenu wajuzi na hata watumiaji mliowahi kupitia changamoto hii.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Pia... Nlikuwa naomba ushauri wenu nyie wataalamu mnaotusaidia humu ndani kwenye masuala ya magari.

Ni gereji gani hapa bongo ina weledi wa utendaji wa hizi kazi, maana madini yenu tunaishia kuyasoma tukienda practical tunafanyiwa vitu vya kijinga kwenye magari na kuingizwa gharama zisizo za msingi!

Tupeni connection hata angalau tu wapi tunaweza tukafanya service bora kwa gharamu nafuu
Nenda auto club..wacheki ig wako oysterbay. Hutojuta
 
Gari kuzima waKati likiwa driving tatizo nn
Inaeza kua imeanza ku-over heat. Suzuki moja nlikua nayo ilikua inafanya hivo, ukiiwasha hapo hapo haiwaki mpaka usikili?ie dakika chache tena ndo inawaka. Then itazima. Kumbe niboverheating. Baadae niko barabarani ile hose pipe ikalipuka hivi ndo kushangaa chuma ishachemsha vya kutosha.

Unashauriwa ikizima hivo usiiwashe unaeza kaanga engine
 
Mkuu kichuguu, naomba kuuliza

Mfano gari iliwekwa engine oil ile namba 40 na imetembea zaid ya km laki 2, je kuna tatizo lolote kwa sasa nikitumia 5W30 ?

Gari husika ni Carina Ti.
 
Habari wakuu
Gari yangu tangu juzi Ac haifanyi kazi nikiiwasha na gari inatembea kama kawaida, ila ukipiga resi ndio pipe za Ac zinaleta ubaridi...ushauri wenu wajuzi na hata watumiaji mliowahi kupitia changamoto hii.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ni gari aina gani.. ingawa kwa case yako possible cause
1. Compressor is weak.
2. You may have low refrigerant gas in yo system..
3. you may have blockage in the system.

Tembelea fundi anaejua kufanya diagnosis vizuri ya ac system ili akupe jibu la uhakika(awe anajua kutumia gauges vizuri ili kukupa correct answers to yo problem.. kumbuka ac repair ni kazi moja simple but very expensive.. hivo si kazi inayotaka mtu kubahatisha maana anaweza kukupa gara mpaka ukachukia gari..

Nb car ac system has the following major components
1. Compressor
2. Condenser with receiver drier/filter bag
3 Expansion valve/orifice tube
4. Evaporator
Minor components are
1. Pressure switches
2. Climate control computer
3 Other electrical components like fuse/relays, consider fan, cabin blower motor, thermostat, ambient temperature sensor, all these play roles for effective ac performance.
 
3qż3\~~2~●jeje3

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Habari yenu, mm gari yangu inashida ya kuwaka, ukiwasha at the first time inagoma then ukipiga starter second time inakubali, nilisafisha tank lilikuwachafu ila sikubadili pamp pia coolant inaisha haraka, nilibadili top cover lakin naona bado....

Msaada wenu tafadhali natanguliza shukrani
 
Hilo suala la Coolant kuisha usilipuuze limeshawahi kutulaza Mbugani.
 
Back
Top Bottom