Makobus
Senior Member
- Jul 30, 2012
- 169
- 110
Kichuguu, mbona umenisahau mkuu? Nilikuuliza juu ya user manual ya kiingereza ya gari hiyo!Hii hapa
Toyota Succeed.
Model code: NCP59G-FWPLK
Vin: NCP590003329
Product date: 2002/10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichuguu, mbona umenisahau mkuu? Nilikuuliza juu ya user manual ya kiingereza ya gari hiyo!Hii hapa
Toyota Succeed.
Model code: NCP59G-FWPLK
Vin: NCP590003329
Product date: 2002/10
Usiache kunistua ukipata jibuGari inshtuka ikiwa inachange gear mostly gear 2 to 3 engine ni 2NZ. Naomba kujua tatizo linaweza kua nini?
Hii ni hali ya kawaida.Mkuu gari yangu ya IST nikiamka asubuhi nikiiwasha inakuwa kama vile inajiresi kwa mda then injini ikipata moto inakuwa sawa itakuwa na tatizo gani?au ikipowa ukiwasha inajiresi ikipata moto inakuwa sawa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ingekua kawaida gari zote zingekua hivyoHii ni hali ya kawaida.
Professor kichuguu, hongera mingi sana kwako, na Mungu akubariki, ninaomba msaada gari yangu ni runx 1.5 ikifika spid 40 mlio unabadilika japo ni nyepesi na Ina nguvu,msaada pliza
Kishasema gari akiwasha asubuhi inakuwa hivyo. RPM inakuwa juu kwa sababu injini inahitaji kupata optimal temperature ili ifanye kazi kwa usahihi. Na inapopata joto, mvumo huo au mzunguko wa RPM hushuka chini hadi kwenye kiwango kinachotakiwa. Hapa inategemea kama ni 650rpm, 700rpm, n.k.Ingekua kawaida gari zote zingekua hivyo
Mkuu gari yangu ya IST nikiamka asubuhi nikiiwasha inakuwa kama vile inajiresi kwa mda then injini ikipata moto inakuwa sawa itakuwa na tatizo gani?au ikipowa ukiwasha inajiresi ikipata moto inakuwa sawa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hata ya kwako ina matatizo; soma jibu nililompa ujue cha kufanya.Kishasema gari akiwasha asubuhi inakuwa hivyo. RPM inakuwa juu kwa sababu injini inahitaji kupata optimal temperature ili ifanye kazi kwa usahihi. Na inapopata joto, mvumo huo au mzunguko wa RPM hushuka chini hadi kwenye kiwango kinachotakiwa. Hapa inategemea kama ni 650rpm, 700rpm, n.k.
Nina assume injini yake ni 2NZ-FE au 1NZ-FE ambazo hicho kitu ni kawaida. Mimi nina 1ZZ-FE na hiyo ni hali ya kawaida. Ninapowasha gari asbh, RPM hupanda kati ya 1500rpm hadi 2000rpm. Kisha baadae hushuka hadi 750rpm.
Haya, tupe uzoefu wa injini uliyonayo. Sio kosa kuwa tofauti.
Nitafanya hivyo, ingawa haina hata miezi 2 tangu isafishwe kwa kutumia WD-40 spray.Kuna sababu kadhaa zinazwoeza kusababisha hali hiyo, ila iwapo inajitokeza wakati wa engine kustart tu halafu inatoweka mpaka mwisho wa safari injini haijiresi tena, basi tatizo lako kubwa litakuwa ni "idle air control valve" ambaypo ni chafu. Huna haja ya kuibadilisha kwani huwa zinadumu muda mrefu sana na zinasifishika. Tafuta fundi mzuri akusafishie. Unaweza kuhitaji gasket mpya baada ya kuifungua na kuisafisha.
Madhara ya kutorekebisha tatizo hilo ni the long term injini itaanza ku-knock pole pole na hivyo kuzalisha matatizo mengine yanaweza kuharibu injini zaidi.
Hata ya kwako ina matatizo; soma jibu nililompa ujue cha kufanya.
Hilo ni tatizo la transmission na unahitaji mtaalamu wa transmission box aikague. Vitu vya kuanzia ni iwapo gari ina milage ndefu basi unaweza kutakiwa kubadili transmission fluid pamoja na filter yake. Kwa bahati mbaya magari mengi ya siku hizi yako designed kuwa transmission fluid haibadilishiwi lakini hiyo inachukulia kuwa gari lina maisha ya miaka 20 au maili 200,000 tu. Iwapo gari lako linazidi maili 180,000 basi fikiria overaul ya transmission box kwa kubadili ATF na filter. Kazi hiyo inahitaji umakini sana kwani fundi akikosea basi utalazimika kubadili hata Torque converter.Gari inshtuka ikiwa inachange gear mostly gear 2 to 3 engine ni 2NZ. Naomba kujua tatizo linaweza kua nini?
Nashukuru boss, changamoto ilikuwa ni belingi za nyuma ,zilikuwa zimeishaAngalia gearbox mounts
Nina gari Toyota premio likipoa nikiwa naliwasha mshale wa silencer hupanda alafu unashuka mpaka zero na huzimika sanasana wakati wa asubuh mpaka niliwashe tena na linaanza kumis mpaka litulie tatizo linaweza kuwa nini naomba msaad