Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kidogo hujaeleweka ...nadhani ulitaka kumaanisha prado yenye injini ya 3rz kula mafula lita 1 kwa km 5 kwa mji wa dar...Kiongozi Prado kula mafuta yenye injini ya 3rz, inakula wastani wa lita 5 kwa hapa mjini dar, je ni sawa au kuna shida?
NB : nimebadilisha injection na fuel pump lakini bado haijabadili ulaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Boeing 747 hili swali halina majibu au hujaliona?Toyota RAV4 2006 model DBA-ACA36W AWD engine inakula oil na hamna sehemu inavuja. Approximately 500-800km unakuta imepungua kiasi flani. Tatizo litakua nini na solution ni nini?
Pole mkuu...Toyota RAV4 2006 model DBA-ACA36W AWD engine inakula oil na hamna sehemu inavuja. Approximately 500-800km unakuta imepungua kiasi flani. Tatizo litakua nini na solution ni nini?
Yan mkuu verrosa unaiita kigari? Sisi wenye vibaby walker tusemeje.......Wakuu nnakigari changu Aina ya Verrosa , Kuna muda inakosa nguvu kabisa, Sasa wataalam wakanishauri nibadili gear box, nikabadili lakini bado tatizo Hilo naliona bado linarejea.
Ushauri wazee
Sent using Jamii Forums mobile app
Baby walker zilikuwa enzi za jk, sikuhizi hata bajaj qute ni gariYan mkuu verrosa unaiita kigari? Sisi wenye vibaby walker tusemeje.......
Mkuu unanifurahisha Sana eti "Vibaby walker " [emoji3][emoji3][emoji3]Yan mkuu verrosa unaiita kigari? Sisi wenye vibaby walker tusemeje.......
Ahsante sana kichuguu kwa maelezo yako hakika umesaidia wengi ila swali langu ni moja tu, hivi kwenye radiator tunatakiwa kuweka maji au coolant/ antfreez wanayouza madukani? naomba msaada wako tafadhari.Kwa kawaida hakuna tatizo lolote kwa gari kwenda umbali mrefu bila kusimama iwapo ina maji ya kutosha na oil haijachoka. Ule muda unaosimama kwenda uwani, kula na kuongeza mafuta hutosha sana kupumzisha injini ya gari lako, siyo lazima ipoe.
Thermostat hiyo ni mbovuKiongozi gari prado 3rz inachemsha ukiweka thermostat, ukiitoa inakuwa sawa haichemshi, je sababu yaweza kuwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kwa mchoro mkuu...