Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwembamba utazani mruziInatoa mlio wa namna gani.
Natakiwa nifunge aina gani?Hizo brake pad unazofunga ni genuine
Gari ina matatizo mengi sana. Kwa kuanzia kabisa inawezekana pia unaiverload transmission yake kama ilikuwa optimized kwa 990cc lakini sasa unaiendesha kwa 1290cc ambao ni kama 30% overload.Mkuu Kichuguu kuna gari hapa aina ya Toyota vitz new model 2005 push to start inasumbua Sana,huwa inazima yenyewe wakati unatembea au kubadilisha gear kwenda reverse au drive. Pia ukiendeshha umbali mfupi kidogo huanza kumiss fire na kushake shake Kisha huzima unakanyaga break unaweka parking ukiwasha linawaka then unatembea halaf hali hujirudia tena baada ya muda. Ila wakat likizima ukiwasha naskia harufu Kali ya oil au petrol ndan ya gar then inapotea naendelea...
Mkuu kichuguu nimeku pm nasubiri msaada wakoGari ina matatizo mengi sana. Kwa kuanzia kabisa inawezekana pia unaiverload transmission yake kama ilikuwa optimized kwa 990cc lakini sasa unaiendesha kwa 1290cc ambao ni kama 30% overload...
Sina uzoefu sana wa magari ya dizeli, ila inawezekana kuwa piston ring zako zimeanza kuchoka. kwa hiyo hazijengi pressure ya kutosha kuunguza mafuta ya dizeli wakati injini bado ni ya baridi. Waambie mafundi wako wakupimie compression test.Habari, nina toyota hilux 3l(diesel engine). Ina tatizo la unapotaka kuiwasha ina crank kwa muda mrefu sana ndio inawaka. Battery za gari gari nimezikagua ni nzima kabisa. Na gari ikiwaka inanguruma vizuri wala hakuna sauti ya ajabu. Gari service inafanywa kwa wakati na saa ingine huwa nawahi kwa hata km 1000 kabla
Oil pressure sensor imechoka; badilisha. Haina madhara sana kwenye injini ila inaweza kusababisha tatizo la ghafla sana wakati kweli hakuna oil lakini wewe ukadhani kuwa ndivyo ilivyo.Write your reply...Nimekukubali Dogo,Wewe ni mtaalam,
Nina Toyoa harrier ya 2000,inaanza sasa kunipa shida mwenye km 190000.Nikiwasha gari Taa ya low oil pressure inawaka,Nikikanyaga pedal nikiwa kwenye idle inazima...
Mtaalam,oil pressure sensor itatatua hata tatizo la kuoverheat engine huku vilevile hoses zikijaa upepo na kunyonya oil isivyo kawaida? Msaada mtaalam.Oil pressure sensor imechoka; badilisha. Haina madhara sana kwenye injini ila inaweza kusababisha tatizo la ghafla sana wakati kweli hakuna oil lakini wewe ukadhani kuwa ndivyo ilivyo.
Swali lako lilihusu taa ya oil pressure halikuhusu engine overheat. Nitakusaidia sana iwapo ukiuliza swali utoe taarifa kamili kwani matatizo ya gari yako kama web ya buibui; yameungana sehemu nyingi sana. Ukisahau kueleza sehemu mojawapo basi unaweza kuishia kwenye kona ambayo hukutegemea.Mtaalam,oil pressure sensor itatatua hata tatizo la kuoverheat engine huku vilevile hoses zikijaa upepo na kunyonya oil isivyo kawaida? Msaada mtaalam.
Samahani sana kwa hilo la kukuita dogo mkuu post yangu ya awali nilijieleza kuwa ninaposwitch on taa ya onyo kwa low oil pressure haizimi hadi napokanyaga accelerator engine ikiwa idle.swali lako lilihusu taa ya oil pressure halikuhusu engine overheat. Nitakusaidia sana iwapo ukiuliza swali utoe taarifa kamili kwani matatizo ya gari yako kama web ya buibui; yameungana sehemu nyingi sana. Ukisahau kueleza sehemu mojawapo basi unaweza kuishia kwenye kona ambayo hukutegemea.
halafu mimi siyo dogo; ni kichuguu. Nilikuwa TPDF wakati wa vita ya kagera, kwa hiyo siwezi kuwa dogo leo.
Kumbe uliuliza maswali mengi ila mimi nilijibu moja tu; ni kosa hilo hilo kuwa ulikata swali katika vipande vipande nadhani ukitegemea kuwa nitakumbuka kuwa nimeshakujibu kule; hapana, siweki kumbukumbu hizo.Samahani sana kwa hilo la kukuita dogo mkuu post yangu ya awali nilijieleza kuwa ninaposwitch on taa ya onyo kwa low oil pressure haizimi hadi napokanyaga accelerator engine ikiwa idle.Nikiendesha umbali kama 30 km taa inawaka na pia engine inaoverheat ikiambatana na hose ya radiator kujaa upepo.cooling system na lublication system zimepitiwa na fundi na pumps zinazohusika kwenye system zinafanya kazi. Radiator imefanyiwa usafi bado tatizo ni lile lile.Fundi anashauri labda ku re install balance shaft ambayo iliondolewa siku za nyuma.Msaada tafadhari.
Ahsante mtaalam,nina toyota harrier 5s engine ya 2000, km 189000.Imeanza tatizo la kuchemsha baada ya kuwa kwenye mwendo wa km 30 hivi.Kuchemka huko kunaambatana na taa inyoonyesha kwamba engine ina low pressure ya oil.Fundi kakagua system zote mbili lubrication na cooling ,amegundua pump zote zinafanya kazi.Kumbe uliuliza maswali mengi ila mimi nilijibu moja tu; ni kosa hilo hilo kuwa ulikata swali katika vipande vipande nadhani ukitegemea kuwa nitakumbuka kuwa nimeshakujibu kule; hapana, siweki kumbukumbu hizo. Kila swali nalijibu pale pale lilivyo, labda kama ungenikumbusha kuwa hilo ni swali la nyongeza kutokana na jibu langu la awali. Sasa nifanyie favor; andika swali lako lote upya katika post moja tu kusudi niweze kuliewa sawasawa na kulijibu vizuri kadri ya uwezo wangu.
Kwanza kabisa badilisha cylinder head gasket; hiyo ndiyo inayokuletea matatizo yote hayo na inatakiwa ifungwe vizuri kwa kutumia ile seeal yake nyekundu. Vile vile kagua kama cylinder head and engine block zina nyufa. Baada ya hapo ndipo tunaweza kuanglia ni vitu gani vingine vishaathirika.Ahsante mtaalam,nina toyota harrier 5s engine ya 2000, km 189000.Imeanza tatizo la kuchemsha baada ya kuwa kwenye mwendo wa km 30 hivi.Kuchemka huko kunaambatana na taa inyoonyesha kwamba engine ina low pressure ya oil.Fundi kakagua system zote mbili lubrication na cooling ,amegundua pump zote zinafanya kazi...