Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Usishangae kuhusu utambulisho huu. Mimi sasa ni ASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler.

Nimepata license yangu hivi majuzi tu mwaka huu baada ya kuitafuta kwa muda kidogo through part-time activities kwani hiyo siyo kazi yangu kuu.

Certification hiyo inahitaji siyo tu kufaulu mtihani wake, lakini pia uwe na uzoefu wa kutosha kwenye auto-repair shop.

Nimekamilisha experience hiyo inayotakiwa mwaka huu na kupata license yangu.

Kwa vile injini nyingi za petroli zinafanana katika utendaji, jisikie free kuniuliza swali lolote kuhusu matatizo ya injini ya gari yako model yoyote inayotumia mafuta ya petroli.

Siahidi kuwa majibu yangu yote yatakuwa ni sahihi, lakini sehemu kubwa itakuwa ni sahihi, na hata yale ambayo hayatakuwa sahihi yanaweza kukusadia kujua wapi pa kuanzia.
Gari kuzima ukiweka gear ya reverse,tatizo nini?
 
Habari mkubwa,Engine Ig Fe vvti,ac ikiwa on gari inakua nzito Sana haiaccelerate inavyotakiwa Ila ukizima Ac inakua vizuri tatizo Nini hapo?
 
Habari mkubwa,Engine Ig Fe vvti,ac ikiwa on gari inakua nzito Sana haiaccelerate inavyotakiwa Ila ukizima Ac inakua vizuri tatizo Nini hapo?
Injini haina nguvu ya kutosha. Inawezekana injini haipati hewa ya kutosha (Angalia Mass flow sensor) au haipati mafuta ya kutosha (angalia fule pressure regulator).
 
Bajaj Qute, tunamsubiri tajiri Mwamedi aanze kuzi import, tuvimbe nazo mtaani.
1644134722858.png
1644134737722.png
1644134747721.png
1644134759888.png
1644134788119.png
 
Heshima kwako kichuguu na wataalam wengne. Naomba kufahamishwa oil sahihi ya engine ya petrol. nmechukua gar ikiwa na 180 km. Kwa service ya kwanza nmeweka total quartz 10w to 50w lakn gar imekuwa nzito. Inaweza kuwa sababu? Kabla ya hapo haikuwahi kubehave hivi. Kutumia aina hii yainjin oil kwa km hzo n sahihi?. Gar n rav4
 
Heshima kwako kichuguu na wataalami wengne. Naomba kufahamishwa oil sahihi ya engine ya petrol nmechukua ikiwa na 180 km. Kwa service ya kwanza nmeweka total quartz 10w to 50w. Inaweza kuwa sababu? Kabla ya hapo haikuwahi kubehave hivi. Kutumia aina hii yainjin oil nsahihi?
Inawezekana kuwa sababu? Sababu ya kufanya nini sasa? Nadhani kuna maneno umesahau kuyaandika Mkuu.
 
Automatic
Kama injini inajaribu kuskuma gari ikashindwa ndipo ikazima basi gearbox ndiyo yenye matatizo. Kuna vyanzo vingi sana vinavyoweza kusababisha gearbox kuwa na matatizo; ni vigumu kuvitaja vyote hapa. Ila tafuta mtu akukagulie gearbox hiyo, na inawekana akama ukabadilisha torque converter na baahdi ya valves dnai ya gear box au ukabadilisha gearbox yote kwani muda mfupi tu itaweza kuanza kushindwa hata kwenda mbele.

Iwapo ukiweka reverse injini inasimama ghafla bila kujaribu kusukuma gari, basi inawezakana switch fulani ndani ya gearbox imekufa. Hilo ni tatizo dogo ambalo linaweza kutatuliwa ama kwa kuitafuta switchi hiyo na kuisfaisha au kuibadilisha yote kwani zinagharibu kama dola nane tu.
 
Habari wana jamii

Naomba kufahamu namna ya kufanya kabla sijanunua gari ya mkononi ikiwa tayari imesha letwa na madalali.....
 
Katika hiyo orodha nimetumia liquimoly, Castro, total na Oryx. Kwa upande wangu kwa hizo tatu Liquimoly ya German is the best na sitaacha kuitumia, japo ni gharama sana lkn gari langu linakuwa very smooth just like new nikiweka Liquimoly.
Hili suala la engine oil inabidi tuwe na ufahamu nalo mzuri...nmeweka engine 10w to 50w gar imekuwa nzito. Kwan kimsingi tunatakiwa kutumia engine oil gan kwa gar gani?
 
1. Gear shifter cable ikikatika kichwa au mkia (end of any side), ni repairable? ama haina repair, ni replacement ya cable yote?

2. Gari ilipinduka upside down. Engine-Oil yote imeingia kwenye Air intake (air filter imelowa oil fully). Nini sahihi kifanyike kabla ya kuiwasha engene? Kichuguu
 
Gari ya petrol kama bado haijachoka , tumia 5w30....kama injini imeshatembea zaidi ya km 150000, tumia 5w40, 10w40 pia siyo mbaya..
Kiongozi naomba ufafanuz kwa ilo maana nina gar ina km180,000 odo na natumia 5w-30 na sion wala sijawai pata changamoto ya engine
 
Back
Top Bottom