Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Kiongozi naomba ufafanuz kwa ilo maana nina gar ina km180,000 odo na natumia 5w-30 na sion wala sijawai pata changamoto ya engine
SAE wanatoa recommendation kwamba gari nyingi zikishafikisha umri wa km 150k, badilisha viscosity ya oil kutoka 3w30 na kupanda kati ya 5w40, 10w40 au hata 15w40....

Inaswmwkana kwamba injininikishafikisha umri wa km 150k, sehemu nyingi zwnye misuguano zinakuwa zimetanuka kwa kiasi fulani, hivyo oil nyeoesi inakuwa si nzuri kwa kuhakikisha ulinzi wa injini iliyoseeka...
Hapo unatakiwa oil nzito kidogo ili iweze kutoa viscosity nzuri kwenye sehemu zenye msuguano..

Kwa mfano mimi gari lilioofikisha km 160k, nikashift to 5w40, na gari linarun vizuri sana...

5w40 ni nzuri....Epuka SAE 40 kavu...
 
Kama gari inakula oil na kutoa moshi, usafishaji wa plugs na kusafisha mfumo wa hewa-ie throttle body, MAF sensor, max be airfilter hazitasaidia mkuu... Sanasana hapa kama gari inatumia electronic throttle body itafanya idling iwe juu ukisha safisha but with ECU relearning idle speed itarudi palepale kwenye required rang ya 700rpm na utaanza kuona tena tatizo linarudi.. kumbuka idle speed ikiwa juu inasabanisha injini kuwahi kufika kwenye operating temperature haraka(labda gsri iwe imetolewa thermostat) na hata pia ndo maana gari ikipaki injini ikapoa, ukiwasha lazima silencer iwe juu ili kufika kwenye joto la injini haraka;;so kwakua umesafisha throttle body now engine is revving high and attain operating temperature very fast hivo uwezi ona moshi kwakua piston rings zina expand fast because of heat na ku seal vizuri na kuficha tatizo lako.
Mrejesho part 2

new generation

Baada ya kuleta ile feedback ya kwanza juu ya kusafisha niliendelea kutumia engine oil 5w40 total quartz. Kweli lile tatizo lilirudi kanna mara 3 hv iliwahi tokea gari inatoa moshi kabisa. Test ya kufungua mfuniko wa sehemu ya kuweka oil nilifanya lkn oil haikuwa yenye kuruka baada ya kuwasha gari na kusubiri km dk 10 hv

Ushauri wa wako wa pili niliufuata wa kubadilisha namba ya oil. Nikaweka 10w40 castrol ktk service iliyofuata. Alhamdulillaah sijaona moshi teeena na gari imekuwa nyepesi zaidi. Sasa sujui ttz ndo limeisha au laah japo kuna fundi aliniambia ttz limeisha.

Ahsante sana
 
SAE wanatoa recommendation kwamba gari nyingi zikishafikisha umri wa km 150k, badilisha viscosity ya oil kutoka 3w30 na kupanda kati ya 5w40, 10w40 au hata 15w40....

Inaswmwkana kwamba injininikishafikisha umri wa km 150k, sehemu nyingi zwnye misuguano zinakuwa zimetanuka kwa kiasi fulani, hivyo oil nyeoesi inakuwa si nzuri kwa kuhakikisha ulinzi wa injini iliyoseeka...
Hapo unatakiwa oil nzito kidogo ili iweze kutoa viscosity nzuri kwenye sehemu zenye msuguano..

Kwa mfano mimi gari lilioofikisha km 160k, nikashift to 5w40, na gari linarun vizuri sana...

5w40 ni nzuri....Epuka SAE 40 kavu...
Shukran mkuu next service nitabadil
 
Naomba kuuliza

Rafiki yangu namuonaga ktk gari yake huwa azima gari lilikwa ktk D padala ya P Je hii ni sawa ? Binafsi nina wasiwasi kama ana haribu clutch ya gari
Boeing 747 msaada ktk kujibu hili Kichuguu
 
Watanzania wengi hatifahamu namna ya uemdeshaji gari tunazomiliki. Sio huyo tu anayezimia kwenye drive...wengi huamisha kutoka drive kwenda kwenda parking kisha kuzima gar...hii napo si sawa.

Ukisoma manual za gari zinakushauri unapokuwa unataka kusomama itoe kwenye drive peleka neutral ikae kwa seconds...vuta handbrake hamisha kutoka neutral peleka parking kisha zima gari.

Tofauti na hapo unaipa stress gearbox baada ya mda inaharibika. Wengi tunatoka drive to parking the handbrake kisha unazima. Si sawa kwa afya ya gearbox.
 
Kumbe ndio hivi?
 
Kweli ? MKILINDI
 
Usishangae kuhusu utambulisho huu. Mimi sasa ni ASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler.

Nimepata license yangu hivi majuzi tu mwaka huu baada ya kuitafuta kwa muda kidogo through part-time activities kwani hiyo siyo kazi yangu kuu.

Certification hiyo inahitaji siyo tu kufaulu mtihani wake, lakini pia uwe na uzoefu wa kutosha kwenye auto-repair shop.

Nimekamilisha experience hiyo inayotakiwa mwaka huu na kupata license yangu.

Kwa vile injini nyingi za petroli zinafanana katika utendaji, jisikie free kuniuliza swali lolote kuhusu matatizo ya injini ya gari yako model yoyote inayotumia mafuta ya petroli.

Siahidi kuwa majibu yangu yote yatakuwa ni sahihi, lakini sehemu kubwa itakuwa ni sahihi, na hata yale ambayo hayatakuwa sahihi yanaweza kukusadia kujua wapi pa kuanzia.
Safi Ila gari nzuri ndogo economical Ila simple ku imanage hasa wanawake ni ipi?
 
Kuna mjadala wa ATF za gearbox kuhusu zibadilishwe baada ya muda fulani su lah! Tusaidie Kichuguu
 
ATF nyingi huwa ni lifetime kuwa hazitakiwi kubadilishwa, na hivyo unaweza ukakuta gearbok hain sump plug ya kuondolea ATF. Hata hivyo kwenye mashine yenye msuguano wa vyuma, baada ya muda ni vizuri kubadilisha ATF pamoja na filter yake hata kama manufacturer anadai kuwa hiyo ni lifetime. Iwapo gearbox yako itakuwa haina sump plug basi itakulazimu kufungua mfuniko wa chini wote wa sump pole pole kumwaga ATF yote kwa uangalifu sana kwani inaweza kumwagika chini na kuchafua eneo lote. Ondoa filter pamoja na gasket zote uweke mpya.

Hakikisha kuwa zoezi la kubadilisha ATF linafanywa na fundi mzuri kwa vile akikosea kidogo tu basi unaweza kutupa gearbox yote. Ujazo pamoja na kuhakikisha kuwa torque converter imejaa inavyotakiwa ni jambo la muhimu sana.

Uzoefu wa Magari kama ya ford na GM ni kuwa maili 135,000 (ambayo ni takriban km220,000) ni kipindi kizuri cha kubadilisha ATF pamoja na filter yake.
 
Uzi murua.....

Hivi hawa wanaoosha magari wanaosha mpaka engine si uharibifu kweli?

Mara nyingi gari ikitoka kuosha inatetema!!! Tatzo ni nini? Plug?
 
ATF nyingi huwa ni lifetime kuwa hazitakiwi kubadilishwa, na hivyo unaweza ukakuta gearbok hain sump plug ya kuondolea ATF. Hata hivyo kwenye mashine yenye msuguano wa vyuma, baada ya muda ni vizuri kubadilisha ARF pamoja na filter yake hata kama manufacturer anadai kuwa hiyo ni lifetime. Iwapo gearbox yako itakuwa haina sump plug basi itakulazimu kufungua mfuniko wa chini wote wa samap pole pole kumwaga ATF yote kwa uangalifu sana kwani inaweza kusamgika chini na kuchafua eneo lote. Ondoa filter pamoja na gaske zote uweke mpya.

Hakikisha kuwa zoezi la kubadilisha ATF linafanywa na fundi mzuri kwa vile akikosea kidogo tu basi unaweza kutupa gearbox yote. Ujazo pamoja na kuhakikisha kuwa torque converter imejaa inavyotakiwa ni jambo la muhimu sana.

Uzoefu wa Magari kama ya ford na GM ni kuwa maili 135,000 (ambayo ni takriban km220,000) ni kipindi kizuri cha kubadilisha ATF pamoja na filter yake.
Asante sana mkuu Kichuguu
 
Watanzania wengi hatifahamu namna ya uemdeshaji gari tunazomiliki. Sio huyo tu anayezimia kwenye drive...wengi huamisha kutoka drive kwenda kwenda parking kisha kuzima gar...hii napo si sawa.

Ukisoma manual za gari zinakushauri unapokuwa unataka kusomama itoe kwenye drive peleka neutral ikae kwa seconds...vuta handbrake hamisha kutoka neutral peleka parking kisha zima gari.

Tofauti na hapo unaipa stress gearbox baada ya mda inaharibika. Wengi tunatoka drive to parking the handbrake kisha unazima. Si sawa kwa afya ya gearbox.
Mmmmh! Ndo kwanza nasikia leo hii kitu!!!
 
Niambie model ya gari na ni ya mwaka gani, nitakutafutia kwenye Catalog zangu ingawa bado nina imani 99% kuwa ni 10W-30 full synthetic hasa kwa gari inayopiga safari za mara kwa mara.
Hiv kujua umri wa gari unahesabu pale unapoanza kununua au lilivyotengenezwa naomba kujua
 
Typically, Umari unahesabiwa pale gari lilipotoka kiwandani. Kuna magari yaliytengezwa mwaka 2015 lakini yakatoka kiwandani mwaka 2016 huwa yanajulikana kuwa ni ya mwaka 2016 ingawa parts zake zinaweza kuwa zinaonyesha mwaka 2015. Iwapo wewe utalinunua mwaka 2020, bado litajulika kuwa ni la mwaka 2016 kwa sababu baadhi ya parts ndani ya gari huzeeka kwa umri haza zisipofanya kazi yoyote.
 
Watanzania wengi hatifahamu namna ya uemdeshaji gari tunazomiliki. Sio huyo tu anayezimia kwenye drive...wengi huamisha kutoka drive kwenda kwenda parking kisha kuzima gar...hii napo si sawa.

Ukisoma manual za gari zinakushauri unapokuwa unataka kusomama itoe kwenye drive peleka neutral ikae kwa seconds...vuta handbrake hamisha kutoka neutral peleka parking kisha zima gari.

Tofauti na hapo unaipa stress gearbox baada ya mda inaharibika. Wengi tunatoka drive to parking the handbrake kisha unazima. Si sawa kwa afya ya gearbox.
Model gani hiyo inayosema uwekw kwenye P kwanza kabla ya kusimama ? Kuna transmission nyingiune hazihami position wakati injini iko off

Utaratibu wa kawaida ni huu :
(1) kanyaga breki ya pedal mpaka mwisho hadi gari isimame,
(2) Weka gear kwenye P,
(3) Weka Parking Brake (handbrake) ukiwa bado umekanyaga Breki ya pedal mpaka mwisho,
(4)Hakikisha madirisha yote yamefungwa
(5) Zima injini kikamilifu uipe kama dakika mbili iache kutikisika.
(6), Chomoa ufunguo kama gari yako inao,
(7) Lock milango yote,
(8) Toka nje ya gari
(9) Funga milango

Tembea kwa mguu uende ofisini mwako au uingie kwenye baa unayokwenda kupoozea kiu. Mambo kwisha.
 
Back
Top Bottom