Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
SAE wanatoa recommendation kwamba gari nyingi zikishafikisha umri wa km 150k, badilisha viscosity ya oil kutoka 3w30 na kupanda kati ya 5w40, 10w40 au hata 15w40....Kiongozi naomba ufafanuz kwa ilo maana nina gar ina km180,000 odo na natumia 5w-30 na sion wala sijawai pata changamoto ya engine
Inaswmwkana kwamba injininikishafikisha umri wa km 150k, sehemu nyingi zwnye misuguano zinakuwa zimetanuka kwa kiasi fulani, hivyo oil nyeoesi inakuwa si nzuri kwa kuhakikisha ulinzi wa injini iliyoseeka...
Hapo unatakiwa oil nzito kidogo ili iweze kutoa viscosity nzuri kwenye sehemu zenye msuguano..
Kwa mfano mimi gari lilioofikisha km 160k, nikashift to 5w40, na gari linarun vizuri sana...
5w40 ni nzuri....Epuka SAE 40 kavu...