Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Kweli tumekaririshwa vibaya vp wewe ambae hujakariri Hali yako ipoje huko?Utapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
Hakika brela leo wamekiri kuitambua lakn siyo kwa shughuli uliyoitaja weweMimi nadhani ungejiridhisha kwanza kwa kuikagua kampuni ya Kalynda ipo kisheria na inatambulika na Brela na TRA?! ... Ina ofisi ?! Kisha ndo uje hapa kaongea porojo
Nadhan kwasasa utakuwa bilionea mkuuNitafute nikuelekeze Kalynda ndo habari ya mjini, mi natengeneza 8,000 kila siku kwa mtaji wangu wa 200,000
Hakika wewe n iasiriMsikariri, kwenye Kalynda unaweza hata kuamua kufanya kazi peke ako na hakuna anayekubughudhi..Nilifanyakazi peke angu miezi miwili mfululizo Kwa mtaji wa 200,000 kila siku nilikuwa naingiza 8,000....Ila kiwango cha chini cha kuanzia ni 20,000..Acheni woga jaribu bahati yako..
Hajajuta kabisaKaribu nakuhakikishia hutajutia kujiunga na Kalynda..
Hakika wewe unajua kufanya research nadhan una PhD kwa Sasa ya kutambua mamboSijui kwanini kuna watu wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.... Afu tabia ya kujifanya kujua bila kufanya research... sio kila biashara ya mtandao ni utapeli dunia imebadilika ... Technology imekua, nyakati zimebadilika!!
Nadhan Sasa wewe n bilionea mkuu umevuna au umevunwa!!Endelea kuongea ivo ivo uku wenzako wanatengeneza ela,, Kalynda ndo habari ya mjini sa izi, imeajiri vijana wengi zaidi ya maelfu,, angalia kipindi cha KUMEKUCHA cha ITV huwa kinarushwa Juma3 sa 2 asubuhi mpaka sa 3 utaona matangazo ya Kalynda...Kama utaona unaongopewa nicheki WhatsApp 0657940974 nikurushie ilo tangazo au nenda ofcn Posta karibu na makato makuu ya TRA Mapato house upate taarifa kamili...
Kweli wewe siyo muoga ss wajanja tunatajirika kupitia mambugila kama ninyiUoga wako ndo umaskini... Ukiwa na roho ya uwekezaji hasara ni kitu cha kawaida.... Tafuta mfanyabiashara ambaye hajawahi kupata hasara... Kikubwa ni kujaribu tena na tena mpaka ufanikiwe!!! Hatujakataa tupo possibly kuibiwa pesa lakin matokeo tumeanza kuyaona!!
Motivational speaker nilianza na unyoya Sasa hv Nina kukuNimeanza na mtaji wa laki 1 lakin hadi sasa nishapata faida ya kutosha!! Sio lazma usichokiamini wewe basi kila mtu asikiamini.... mimi binafsi sipendi siasa lakin kuna watu wamefanikiwa.... Fuata moyo wako na usiforce kulazimisha wengi waone upo sahihi ...
UmepigwaaaaaaaWewe ndo umekuja kwenye uzi ukidai Kalynda ni wapigaji... tena unahubiri kabisa,, sasa hapo umeshawishiwa wapi au labda nani amekuibia na hata baada ya mtu yoyote kusoma huu uzi bado swala la kuwekeza ni maamuzi ya mtu binafsi... !!
Aiseeh uje Rudi hapa kalynda imeenda wapi kumbe na wewe tapeli la kutupwaUtapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
Hahaha alitumia nguvu akawapata wasio tumia akiliJazajuan apigwe hata ban, kwa kupotosha umma
[emoji23][emoji23][emoji23]Utapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
Hiyo ni biashara au wizi?Uoga wako ndo umaskini... Ukiwa na roho ya uwekezaji hasara ni kitu cha kawaida.... Tafuta mfanyabiashara ambaye hajawahi kupata hasara... Kikubwa ni kujaribu tena na tena mpaka ufanikiwe!!! Hatujakataa tupo possibly kuibiwa pesa lakin matokeo tumeanza kuyaona!!
Itafunguka tu mkuu, endeleeni kupiga hela.Vipi aisee mbona leo app yenu haisomi?
Zuri CashImeisha Hiyooooo,, Cha Bure Salamu hapa Town
***Mjini AKILI
NGUVU peleka kijijini.
Anayefataaa......
ππππ vipi mzee bado umekaririshwa vzuri?Utapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya