Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Status
Not open for further replies.
Msikariri, kwenye Kalynda unaweza hata kuamua kufanya kazi peke ako na hakuna anayekubughudhi..Nilifanyakazi peke angu miezi miwili mfululizo Kwa mtaji wa 200,000 kila siku nilikuwa naingiza 8,000....Ila kiwango cha chini cha kuanzia ni 20,000..Acheni woga jaribu bahati yako..
Hakika wewe n iasiri

Kwa hyo 200k imelala yoo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sijui kwanini kuna watu wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.... Afu tabia ya kujifanya kujua bila kufanya research... sio kila biashara ya mtandao ni utapeli dunia imebadilika ... Technology imekua, nyakati zimebadilika!!
Hakika wewe unajua kufanya research nadhan una PhD kwa Sasa ya kutambua mambo

Akili mtu wangu kusiki ma kwa kenge had atoke damu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kuongea ivo ivo uku wenzako wanatengeneza ela,, Kalynda ndo habari ya mjini sa izi, imeajiri vijana wengi zaidi ya maelfu,, angalia kipindi cha KUMEKUCHA cha ITV huwa kinarushwa Juma3 sa 2 asubuhi mpaka sa 3 utaona matangazo ya Kalynda...Kama utaona unaongopewa nicheki WhatsApp 0657940974 nikurushie ilo tangazo au nenda ofcn Posta karibu na makato makuu ya TRA Mapato house upate taarifa kamili...
Nadhan Sasa wewe n bilionea mkuu umevuna au umevunwa!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Uoga wako ndo umaskini... Ukiwa na roho ya uwekezaji hasara ni kitu cha kawaida.... Tafuta mfanyabiashara ambaye hajawahi kupata hasara... Kikubwa ni kujaribu tena na tena mpaka ufanikiwe!!! Hatujakataa tupo possibly kuibiwa pesa lakin matokeo tumeanza kuyaona!!
Kweli wewe siyo muoga ss wajanja tunatajirika kupitia mambugila kama ninyi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nimeanza na mtaji wa laki 1 lakin hadi sasa nishapata faida ya kutosha!! Sio lazma usichokiamini wewe basi kila mtu asikiamini.... mimi binafsi sipendi siasa lakin kuna watu wamefanikiwa.... Fuata moyo wako na usiforce kulazimisha wengi waone upo sahihi ...
Motivational speaker nilianza na unyoya Sasa hv Nina kuku

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Karibu mjini mleta mada siku nyingne usishupaze shingo namna hii

Mkimiliki simu na bando na app ya jf bas mnajiona wajanja sana

Ss tupo toka enz za deci nadhan wewe ulikuwa mpitimbi songea huko unalima au unasoma vidudu

Wakubwa zako tukikuambia huu mchezo n wa hatari amini hvyo

Nadhan wamekuacha na boksa tu na bado nipo mtamboni kubuni kitu kingine nile pesa yako ya mwisho had urudi shamba safari hii

KARIBU MJINI

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Uoga wako ndo umaskini... Ukiwa na roho ya uwekezaji hasara ni kitu cha kawaida.... Tafuta mfanyabiashara ambaye hajawahi kupata hasara... Kikubwa ni kujaribu tena na tena mpaka ufanikiwe!!! Hatujakataa tupo possibly kuibiwa pesa lakin matokeo tumeanza kuyaona!!
Hiyo ni biashara au wizi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom