Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Status
Not open for further replies.
Wandengereko ni kabila na sidhani kama ni busara kwa nchi kama Tz kuattack kabila flani flani... ukiona umeishiwa hoja ndo unaanza mambo kama zako... sasa hapa wandengereko wamekujaje mdogo wetu?!
Mdogo wenu na nani?

Usijishebedue hapa nimeshakwambia nenda kawadanganye wandengereko, kama huwajui baki na ujinga wako.
 
So in nutshell hio platform ni km alibaba,aliexpress
 
Sijaelewa kitu hapa naomba nifafanuliwe,
Nataka nifahamu ufanyaji kazi wa hii kampuni, pili nataka nifahamu hio 8,000 unaipata kwa kufanyaje au ni kitu gani ufanye ili upate hayo malipo
Na anaeweka 20,00 yeye anapata nini ?
Na vigezo gani vitakufanya uwe unastahili hayo malipo. Na pia naomba muweke bayana shughuli mnazojihusisha nazo ili zifahamike isitoshe kusema online market
 

Njoo Whatsapp 0744-786578
 
Hao eBay,Shoppee,Amazon n.k wote wana kitengo cha marketing ambapo sisi tunafanya kazi ya kuongeza sales ratings kupitia Platform yetu ya Kalynda ...
Unaweza kutoa ushahidi wa e-commerce moja wapo kuwa zina idara za masoko zinazoongeza ratings za seller?
Pitia sera za amazon kuhusu reviews na ratings: https://www.amazon.com/gp/help/customer/display.html?nodeId=201929730

Amazon wanawekeza pesa kibao kwenye Machine Learning na artificial intelligence kwa ajili ya kutambua ratings ambazo ni fake (watu ambao hawajanunua vitu), yaani kwamba mnaongeza ratings za seller bila kuwa mnunuzi wa bidhaa za amazon na mtumiaji wa hiyo bidhaa? kitu ambacho ni kinyume na sera za e-commerce karibu zote ulizoziweka.

All in all hatupo hapa kwa ajili ya kukuconvince kujiunga... Kama haupo tayari kujiunga Kalynda Nakushauri tu biashara ni nyingi sana ... Tafuta mtaji ujiunge biashara yoyote be free!!
Toa ufafanuzi wa kuweleweka na sio kuhamisha mada kwa sababu kichwa cha mada kinataka kuulizwa swali lolote kuhusu hiyo platform
 

Hiyo testimony ilikuja baada ya Kashfa Kuwakuta Amazon juu ya Kampuni zinazofanya kazi kama Kalynda na ndio maana ... mikataba ya Fake reviews,Fake buy na Fake Youtube views ipo kinyume na sheria ya umoja wa kimataifa wa Haki ya mteja lakini haimaanishi kwamba Hizi biashara hazipo.... Ila tu mikataba imekuwa ya siri ili kulinda Brand za kampuni husika.... Beware biashara zina mambo mengi....!!! Usimuone Majizzo kaanzisha E fm na wewe unataka kuanzisha Radio hujui nyuma yake kuna nani,, nani anamboost au anafanya biashara zipi zinazombackup!
 
Hizo kampuni za fake reviews ambazo zinefunguliwa kesi na Amazon hazifanyi KAZI kama mnavyofanya nyie! Hazialiki watu Kwa nini nyie msisitizo ni kualika, na bidhaa zipi ambazo mna review!

Kwa hiyo nyie mna Siri ya jinsi Amazon ilivyokuwa?
 
Hizo kampuni za fake reviews ambazo zinefunguliwa kesi na Amazon hazifanyi KAZI kama mnavyofanya nyie! Hazialiki watu Kwa nini nyie msisitizo ni kualika, na bidhaa zipi ambazo mna review!

Kwa hiyo nyie mna Siri ya jinsi Amazon ilivyokuwa?

Basi kama hutaki kualikwa unaweza kuacha na kufanya mambo yako mengine.... sisi hatujamshika mtu shati!! Uwekezaji na biashara zipo nyingi sana ... hata kubet pia ni kazi!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…