Sababu Bado hujaweka pesaMbona nmejiunga lakini nmeandikiwa locking ???View attachment 2377283
Unataka uelewe kwa kina ili iweje? Hawa ni wababaifu, wanakubabaisha ili wakupigeKuna shida kubwa sana kwenye elimu yetu haswa ya msingi. Hata hueleweki hiyo Kalynda ni nini kwanza. Alafu wadau wakikwambia wewe ni tapeli unang'aka.
Ni kuulize hzo pesa za kulipa mnazipata wapMimi nadhani ungejiridhisha kwanza kwa kuikagua kampuni ya Kalynda ipo kisheria na inatambulika na Brela na TRA?! ... Ina ofisi ?! Kisha ndo uje hapa kaongea porojo
Nimekusoma Mkuu🤣🤣Unataka uelewe kwa kina ili iweje? Hawa ni wababaifu, wanakubabaisha ili wakupige
AView attachment 2348455
Nenda brela ukague Validity ya hii Certificate afu uje hapa jukwaani kutoa ushuhuda... Nawashauri ndugu zangu tufanye kwanza Research ya mambo ndo tuje kuattack sio kukurupuka kuattack kihisia!
Ndio umeliwa hivyo hahahaha hakuna vya bureVip leo App mbona haifunguki kuna shida gani ?
Dunia imebadilika.Sijui kwanini kuna watu wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.... Afu tabia ya kujifanya kujua bila kufanya research... sio kila biashara ya mtandao ni utapeli dunia imebadilika ... Technology imekua, nyakati zimebadilika!!
HahahahVipi aisee mbona leo app yenu haisomi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui kwanini kuna watu wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.... Afu tabia ya kujifanya kujua bila kufanya research... sio kila biashara ya mtandao ni utapeli dunia imebadilika ... Technology imekua, nyakati zimebadilika!!
Nitafute nikuelekeze Kalynda ndo habari ya mjini, mi natengeneza 8,000 kila siku kwa mtaji wangu wa 200,000
Endelea kuongea ivo ivo uku wenzako wanatengeneza ela,, Kalynda ndo habari ya mjini sa izi, imeajiri vijana wengi zaidi ya maelfu,, angalia kipindi cha KUMEKUCHA cha ITV huwa kinarushwa Juma3 sa 2 asubuhi mpaka sa 3 utaona matangazo ya Kalynda...Kama utaona unaongopewa nicheki WhatsApp 0657940974 nikurushie ilo tangazo au nenda ofcn Posta karibu na makato makuu ya TRA Mapato house upate taarifa kamili...
wameondoka bila kuaga wewe ?Vip leo App mbona haifunguki kuna shida gani ?
Kalynda wameshafanya yao kama Mula Empire,Scatec bado Zuricash,Anada na wengineKuna watu washapigwa tayari, link haifunguki ,na huwezi withdraw tena,
Ndugu zangu hakuna pesa rahisi ,utapeli ni mwingi sana