Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Status
Not open for further replies.
Hee hee hee ngoja kwanza nicheke mbongo akuite kwenye fursa kweli aaaah wapi jua hiyo ni fursana sanasana ww ndiyo........ Mtamalizia

Endelea kuongea ivo ivo uku wenzako wanatengeneza ela,, Kalynda ndo habari ya mjini sa izi, imeajiri vijana wengi zaidi ya maelfu,, angalia kipindi cha KUMEKUCHA cha ITV huwa kinarushwa Juma3 sa 2 asubuhi mpaka sa 3 utaona matangazo ya Kalynda...Kama utaona unaongopewa nicheki WhatsApp 0657940974 nikurushie ilo tangazo au nenda ofcn Posta karibu na makato makuu ya TRA Mapato house upate taarifa kamili...
 
Kuna wajanja wameweka makalio huko ofisini tena ghorofani wanasubiri makusanyo ya hela za 'wapumbavu na malofa' kisha kuzipata hizo hela wanatimkia ughaibuni 😂

DECI ilipopiga hela za Wachungaji kuna watu humu walikuwa hawajazaliwa, wapigaji wamekuwepo na wataendelea kuwepo, muwe makini bandugu mtapigwaaa.
 
Kuna wajanja wameweka makalio huko ofisini tena ghorofani wanasubiri makusanyo ya hela za 'wapumbavu na malofa' kisha kuzipata hizo hela wanatimkia ughaibuni [emoji23]

Uoga wako ndo umaskini... Ukiwa na roho ya uwekezaji hasara ni kitu cha kawaida.... Tafuta mfanyabiashara ambaye hajawahi kupata hasara... Kikubwa ni kujaribu tena na tena mpaka ufanikiwe!!! Hatujakataa tupo possibly kuibiwa pesa lakin matokeo tumeanza kuyaona!!
 
Kuna wajanja wameweka makalio huko ofisini tena ghorofani wanasubiri makusanyo ya hela za 'wapumbavu na malofa' kisha kuzipata hizo hela wanatimkia ughaibuni [emoji23]

DECI ilipopiga hela za Wachungaji kuna watu humu walikuwa hawajazaliwa, wapigaji wamekuwepo na wataendelea kuwepo, muwe makini bandugu mtapigwaaa.

Nimeanza na mtaji wa laki 1 lakin hadi sasa nishapata faida ya kutosha!! Sio lazma usichokiamini wewe basi kila mtu asikiamini.... mimi binafsi sipendi siasa lakin kuna watu wamefanikiwa.... Fuata moyo wako na usiforce kulazimisha wengi waone upo sahihi ...
 
Tangu enzi na enzi wapigaji wamekuwepo na wataendelea kuwepo, unachokiamini endelea nacho Ila usinishawishi nisiye amini niamini.

Kila laheri ndugu.
 
Wewe ndo umekuja kwenye uzi ukidai Kalynda ni wapigaji... tena unahubiri kabisa,, sasa hapo umeshawishiwa wapi au labda nani amekuibia na hata baada ya mtu yoyote kusoma huu uzi bado swala la kuwekeza ni maamuzi ya mtu binafsi... !!
 
Swali: kwa nn mnatumia nguvu kubwa kujitangaza badala ya akili?

Marketing ni kitengo muhimu katika biashara yoyote... kupitia Advertisement ni rahisi asiyejua akajua ... sasa unataka nguvu isitumike kwenye marketing nishauri ikatumike wapi ndugu?!
 
Wewe ndo umekuja kwenye uzi ukidai Kalynda ni wapigaji... toa unahubiri kabisa,, sasa hapo umeshawishiwa wapi au labda nani amekuibia na hata baada ya mtu yoyote kusoma huu uzi bado swala la kuwekeza ni maamuzi ya mtu binafsi... !!
Unashawishi watu waipende Ila hupendi kukosolewa, unadhani wasomaji tuna mpaka ktk kuchangia uzi?

Eti nimevamia uzi 😁😁

Una matatizo ndugu na ndio maana umekubali kupigwa kiboya kabisa
 
Unashawishi watu waipende Ila hupendi kukosolewa, unadhani wasomaji tuna mpaka ktk kuchangia uzi?

Eti nimevamia uzi [emoji16][emoji16]

Una matatizo ndugu na ndio maana umekubali kupigwa kiboya kabisa

Kuna sehemu nimesema umevamia?!! Una akili fupi ndugu... kwahiyo nilipokuambia umekuja kwenye uzi ndo nimemaanisha umevamia?!.... Oky tumia tafsiri uitakayo by the way mimi sio boya tena kwa taarifa yako soma thread zangu tano za nyuma utajua mimi ni mtu wa aina gani... mimi ni mtumishi na Kalynda kwangu ni Fursa ambayo sikutaka kukubali inipite.... Nimejiunga Kalynda mwezi wa sita Tarehe 23 na Vuta tu picha ya kawaida mpka sasa nimepata hasara au faida....Mwezi wa Saba tarehe 10 nikafanikiwa Kuwekeza milioni moja ambayo interest yake ni 4.5% a day.... na hivi nnavyokwambia hata Kalynda ikizima leo sidhani kama nna hasara kwani mpaka tarehe 10 Ya wiki iliyopita Kalynda imenipa interest ya around 3M ...sasa nimepigwa wapi hapo?! By the way mimi na mtu anayebet nan anachoma pesa?!

NB:Kumbuka naendelea kupata pesa mpaka hapa tunapochat;tena nazungusha faida mtaji nilishanyweaga beer; na kumbuka Invites tu zinaniingizia 50 plus a day.... sasa wewe kaa hapa hubiri .... wakati mimi hili bundle nadhaminiwa na KALYNDA!
 
Kawadanganye wandengereko wanaweza kukubaliana nawe.

Kila laheri ndugu
 
Marketing ni kitengo muhimu katika biashara yoyote... kupitia Advertisement ni rahisi asiyejua akajua ... sasa unataka nguvu isitumike kwenye marketing nishauri ikatumike wapi ndugu?!
Ulishawahi kuona wapi Marketing strategy ya hovyo kama hii yenu? Marketing ni profession za watu. Unaweza kushitakiwa kwa public offer yako ya kitapeli. Kama business ina lipa just advertise normally, watu watakuja wakiona its a profitable venture. Ila hii nguvu kubwa inayo tumika inatia mashaka makubwa mnoo.

Ila mki overdo, mtafutiwa leseni.
 
Haya tufutie leseni basi ndugu... mana waliotupa leseni wamekosea!!
 
Kawadanganye wandengereko wanaweza kukubaliana nawe.

Kila laheri ndugu

Wandengereko ni kabila na sidhani kama ni busara kwa nchi kama Tz kuattack kabila flani flani... ukiona umeishiwa hoja ndo unaanza mambo kama zako... sasa hapa wandengereko wamekujaje mdogo wetu?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom