Niulize chochote kuhusu mgogoro wa Ethiopia??

Niulize chochote kuhusu mgogoro wa Ethiopia??

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Ethiopia

Serikali ya Ethiopia bado haijapona.
Wakati imetoka kumaliza vita kutokana na mgogoro wa Tigray uliodumu miaka miwili 2020-2022🪙
Imejikuta ikiingia kwene migogoro mingine ikiwemo huu wa jeshi la FANO la jimbo la Amhara.

Ikikumbukwe hili jeshi liliwasaidia jeshi la muungano la Ethiopia kupigana na TPLF kundi la Tigray huko jimbo la tigray kaskazini mwa Ethiopia.
 
Attachments

  • 3C4DA39C-9229-40B1-B985-39545A85EA00.jpeg
    3C4DA39C-9229-40B1-B985-39545A85EA00.jpeg
    108.9 KB · Views: 5
  • 6A0BA9F1-8DEA-4CE9-A241-0DE87CF123D4.jpeg
    6A0BA9F1-8DEA-4CE9-A241-0DE87CF123D4.jpeg
    99.1 KB · Views: 7
  • 9C445075-E7EA-4AC7-BE67-FD99DACAF8F7.jpeg
    9C445075-E7EA-4AC7-BE67-FD99DACAF8F7.jpeg
    108.4 KB · Views: 6
  • C781ED6E-6830-4BE7-A7F8-BE8C2F034870.jpeg
    C781ED6E-6830-4BE7-A7F8-BE8C2F034870.jpeg
    135 KB · Views: 6
Mkuu ingependeza zaidi km ungeanza kuelezea unayoyajua na kinachoendelea huko
 
Eleza kwa ufupi huo mgogoro ulianza lini na vipi bado unaendelea au ...?
Ethiopia ina migogoro mingi
Mgogoro wa tigray
Mgogoro kati ya fano na jeshi la serikali
mgogoro kati ya Oromo liberation front na serikali
Mgogoro kati ya jeshi la oromo na jimbo la amhara
migogoro ni mingi sijui we unauliza upi
 
Tuanzie hapa,
Tupe ufafanuzi wa hizo picha ulizoambatanisha kwenye bandiko hili
Picha ni vita inayoendelea kati ya jeshi la oromo wakivamia sehemu mbalimbali za jimbo amhara
 
Migogoro hio imechangia mambo gani chanya na hasi
Hasi watu kufa,kushuka kiuchumi,njaa magonjwa na ukosefu wa huduma za kijamii

Chanya mataifa yenye nguvu hutumia mianya hii kupora na kuiba mali kama mafuta ,madini, lakini pia hutumika kuidhoofisha serikali
mfano mgogoro kama huu wanufaika ni Egypt na Somalia
 
Mkuu mwanzo ni Kama Ethiopia ulikua imetulia lakini kadili siku zinavyosogea ndivyo panazidi kuibuka waasi mbalimbali

Hebu tueleze chanzo hasa Cha mgogoro huo Kati ya serikali na hao waasi.
Ethiopia haijawai kutulia kumekua na vita na uvamizi wa maeneo kutoka kabila moja na lingine.
Serikali ya majimbo na majimbo yamegawanywa kikabila
Hivo ugomvi wa makabila ulianzia kipindi ambapo serikali ya Tigray ilikua madarakani.
Wao walitengeneza vitambulisho vinavyoonesha kila mtu kabila gan

Hivo ukabila ukaanza kukua kwa kasi
 
Ethiopia

Serikali ya Ethiopia bado haijapona.
Wakati imetoka kumaliza vita kutokana na mgogoro wa Tigray.
Imejikuta ikiingia kwene migogoro mingine ikiwemo huu wa jeshi la FANO la jimbo la Amhara.

Ikikumbukwe hili jeshi liliwasaidia jeshi la muungano la Ethiopia kupigana na TPLF kundi la Tigray huko jimbo la tigray kaskazini mwa Ethiopia.
Una uzoefu gani, utaalamu gani au kitu gani cha kipekee cha kukuwezesha kuuongelea vizuri na kwa kina mgogoro huu?
 
Ethiopia haijawai kutulia kumekua na vita na uvamizi wa maeneo kutoka kabila moja na lingine.
Serikali ya majimbo na majimbo yamegawanywa kikabila
Hivo ugomvi wa makabila ulianzia kipindi ambapo serikali ya Tigray ilikua madarakani.
Wao walitengeneza vitambulisho vinavyoonesha kila mtu kabila gan

Hivo ukabila ukaanza kukua kwa kasi
Hivyo chanzo kikubwa ni ukabila mkuu Ethiopia kunamakabila mangai na nguvu zao katika kuichalenji serikali ni zipi kiasi wasithibitike kirahisi na Kuna Nini nyuma ya huo ukabila
 
Hivyo chanzo kikubwa ni ukabila mkuu Ethiopia kunamakabila mangai na nguvu zao katika kuichalenji serikali ni zipi kiasi wasithibitike kirahisi na Kuna Nini nyuma ya huo ukabila
serikali za majimbo zimekuepo kwa miaka 30 na sasa ahamedi anataka ayavunje majimbo wamegoma

ndio tatizo lilipoanzia vita ya tigray sababu kubwa ilikua ni kukaidi kufuta siasa za majimbo na vyama vya kimajimbo
 
Ethiopia

Serikali ya Ethiopia bado haijapona.
Wakati imetoka kumaliza vita kutokana na mgogoro wa Tigray uliodumu miaka miwili 2020-2022🪙
Imejikuta ikiingia kwene migogoro mingine ikiwemo huu wa jeshi la FANO la jimbo la Amhara.

Ikikumbukwe hili jeshi liliwasaidia jeshi la muungano la Ethiopia kupigana na TPLF kundi la Tigray huko jimbo la tigray kaskazini mwa Ethiopia.
Njoo na uzi kamili mzee.
 
Back
Top Bottom