Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
- Thread starter
-
- #41
Computer hutumia data nyingi zaidi kwa sababu ya updates zinazokua zikiendela pale inapounganishwa na internet. Vitu kama Updates za window yenyewe, softwares kama office, antivirus na zinginezo.swali langu kwa mleta mada, kipi hufanya computer itumie data kwa kiwango kikubwa kuliko smartphone
Kwa issue ya smartphone vs vibatani.na why smartphone iwe more than vibatan
Kama unatumia google chrome unaweza kuwasha Data Saver au Lite Mode ambazo hizi unazipata kwenye ili kupunguza matumizi ya data pale unapoitumia.nifanyeje nipunguze matumizi ya data katka android phone while browsing not watching any video and namna ya kublock ads completely bila rooting.
Hapana inaenda kwa mtu mwngne ambaye alitaka kuwa anaona call zangu natushajaribu kutoa lkn badoMkuu hapa sijakupata vizuri. Umemaanisha kwamba usipopokea simu kuna sms inaenda kwa aliyekupigia?
Ipi nzuri kati ya hizo mbili?DSLR NI Kifupi cha digital single-lens reflex. Mfumo wa uchukuaji picha ni kinyume cha Mirrorless ambapo ili picha inaswe na sensor ya kamera ina akisiwa toka kwenye kioo na ndipo hupelekwa kwenye sensor ili picha itengenezwe.
Kamera nyingi zenye huu mfumo ni za kampuni ya Canon, Nikon
Mirroless ni nzuri zaidi kuliko dslr kwa upande wa ubora wa picha ambapo hazina mechanical movement ambayo inaweza distort picha, ukubwa wa kamera kwa mirrorless ni mdogo zaidi kuliko dslr, na pia huchukua picha kwa haraka sana yani frame per second yake haina kizuizi kutokana na movement ya mirror haipo (mirrorless) ukilinganisha na kwenye dslr.Ipi nzuri kati ya hizo mbili?
Unatumia simu ya aina gani?Hapana inaenda kwa mtu mwngne ambaye alitaka kuwa anaona call zangu natushajaribu kutoa lkn bado
Natumia I phone 7Unatumia simu ya aina gani?
Haya maswali yasio na faida katika jamiiWino wa kwenye smartphone upo gramu ngapi mbona nimekaa na simu miaka miwili na haijawahi kuishiwa wino?
Je, tukikusanya wino wa simu milioni moja unaweza kujaza ndoo moja?
Nenda kwenye settings ya simu yako halafu tafuta call forwading angalia kama ipo on. Tuanze hapo kwanzaNatumia I phone 7
Ukipata jibu naomba uni tag mkuuMkuu unaweza ku Describe simu za Xiami.
Na Redmi ni hizo hizo ama...??
Naitaji kuzifaham ni General ukitofautisha na hizi simu zingine tunazo tumia.
Maana hizi simu zina Promo sana kuwa zina uwezo mkubwa tofauti na Gharama
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Xiami ndio brand ya simu, na Redmi ni toleo simu za brand hiyo. Ambapo Ni sawa na kusema Samsung na Galaxy Note/S SeriesMkuu unaweza ku Describe simu za Xiami.
Na Redmi ni hizo hizo ama...??
Kuhusu promo hii kampuni wanafanya kujipenyeza ili kushika soko maana bado ni ngeni na haina miaka mingi sna kwenye soko.Naitaji kuzifaham ni General ukitofautisha na hizi simu zingine tunazo tumia.
Maana hizi simu zina Promo sana kuwa zina uwezo mkubwa tofauti na Gharama
Hiyo ishu ya whatsapp nishauri ufanye backup ya data zako pale inapokubali kufunguka, kisha unistall halafu download tena.Natumia Samsung j6+ hivi karibuni nimepata shida upande app ya WhatsApp ikihitaji ni update lkn nikiwa playstore inaload hata nusu saa japokua network inasoma 4G ...
Nikirudisha tarehe nyuma mfano Sept 21 WhatsApp inakubali je nini tatizo ?
Pia nina tumia gbwhatsapp kwa namba nyingine je Kuna tatizo maana ni apk.
Mwonekano wa camera ya katikati siupendi bora iwe pembeniMkuu nitakuelezea kutokana na baadhi ya vigezo kwa kupambanisha hziz simu mbili, wewe mwenyewe utaangalia kipi unachohitaji zaidi halafu utachagua aina ipi utainunu.
A12 A21 Kutolewa 2020, June 26 Kutolewa 2020, December 21 OS ANDROID 10 OS ANDROID 10 unaweza ku-upgrade mpaka 11 Internal storage ni 32GB pekee Internal storage ni 32GB 2GB RAM, 32GB 3GB RAM, 64GB 4GB RAM, 128GB 3GB RAM, 128GB 4GB RAM, 128GB 6GB RAM Kamera ya mbele:13 MP, f/2.0, (wide), 1/3.1", 1.12µm
Kmaera ya nyuma: 16 MP, f/1.8, (wide), 1/3.06", 1.0µm, PDAF
8 MP, f/2.2, (ultrawide), 1/4.0", 1.12µm
2 MP, f/2.4, (macro)
2 MP, f/2.4, (depth)kamera ya mbele: 8 MP, f/2.2
Kmaera ya Nyuma: 48 MP, f/2.0, 26mm (wide), AF
5 MP, f/2.2, 123˚ (ultrawide)
2 MP, f/2.4, (macro)
2 MP, f/2.4, (depth)Battery:Li-Po 4000 mAh Battery:Li-Po 5000 mAh Bei ya kiwandani:Tshs. 274295.00 Bei ya kiwandani:Tshs. 366495.00
Hapo mkuu waweza chagua kwa tofauti hizo hapo juu unazoziona.
Vingine vinafanana, pia unaweza tembelea Compare Samsung Galaxy A21 vs. Samsung Galaxy A12 - GSMArena.com kwa maelezo zaidi
Inategemeana na soko unapochukulia. Ila matoleo haya utayapata kwa bei rahisi: Nikon D90, d3100, d3200, d3400, d3500Camera gani ya bei rahisi kmpuni ya nikoni kwa matumizi ya kupig picha