Niulize chochote kuhusu smartphones na mirrorless na DSLE Cameras

Niulize chochote kuhusu smartphones na mirrorless na DSLE Cameras

  • TheWiSpy Android Spy App.
  • XnSpy Cell Phone Spy App.
  • FamiSafe Android Monitoring App.
  • FlexiSpy Mobile Spyware.
  • MobiStealth Phone Monitor.
  • mSpy Mobile Monitoring App.
  • CocoSpy Android Spyware.
  • SpyEra Mobile Spy App.
na kwa uzoefu wako zinafanya .yaano lengo langu nataka kujua ni kweli hilo jambo linawezekana
 
Mkuu simu gani au toleo gani la Tecno ni best of all time mawili tafadhali hasa hasa kwenye ubora na uimara wa simu husika?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwa upande wa tecno ni Tecno Camon CX plain na Phantom X.
tecno-mobile-camon-cx2.jpg
Tecno-Phantom-X-in-Kenya-1.jpg
 
Smartphone zinatumia Liquid Crystal Display screen ambapo pale kioo kinapopata majeraha huonekana kama ni wino, la hasha sio wino ni idadi ya pixel za kioo kilichopata jeraha.
Vile tunaandika muda wote hiyo liquid haiishi?
 
Kwa sasa hizo simu used toka nje zimekamata sana soko. Mfano mzuri mimi natumia Sony XZ1. Kuna baadhi ya brand ni ngumu kuchakachua kama Sony, LG maana mchina hahusiki na kutoa copy sana.
Kwa brand kama Samsung ni rahisi kuchakachuliwa au kuuziwa simu ya mbongo mwenzako wa hapa hapa, labda upate Samsung ambayo ni customized kwa kampuni za simu za Korea na Japan kama docomo na kt.
Mfano mzuri:
kuna hii samsung galaxy feel nilinunua, zinakuwa na features tofauti sana na hizi ambazo zinatengenezwa china. kwa mfano china haweki features kama NFC.
View attachment 1980593
Shukrani mkuu....ngoja nitaikagua vizuri kabla sijafanya payment
 
Kuna mtu kanionganisha nikipigiwa nisipo pokea msg inaenda kwny hiyo namba alikuwa amepigiwa nataka nitoe hiyo kitu natoaje
 
Kuna mtu kanionganisha nikipigiwa nisipo pokea msg inaenda kwny hiyo namba alikuwa amepigiwa nataka nitoe hiyo kitu natoaje
Mkuu hapa sijakupata vizuri. Umemaanisha kwamba usipopokea simu kuna sms inaenda kwa aliyekupigia?
 
What are your thoughts on the latest Google Pixel 6 series?
Kwanza hizi series za Google Pixel 6 zimeimarushwa sana kwenye upande wa picha, performance ya hali ya juu sana na usmartness.
1.Tutegemee picha kali sana sababu ya processor ya picha yenye uwezo mkubwa wa kurekebisha picha {magic eraser} pale ambapo haitaku imepatikana katika ubora usio na viwango.

2.Pia hizi simu zina Live Translate {tafsiri mubashara} kwa lugha zaidi ya 50 ya maneno yaliyo aidha kwenye message yako yani unaweza chati na mchina kila mtu kwa lugha yake na mkaelewana maana tafasiri ya lugha ni papo kwa papo.

3. Pia zinakuja na chip mpya aina ya Tensor ambapo ni salama sana na haraka pia. Na itapokea updates za kiusalama kwa miaka 5.
Vitu vingine ni kama kamera kali 50MP yenye uwezo mkubwa wa kupiga picha hata kukiwa na mwanga mdogo, kioo kwenye ubora wa hali ya juu, battery kubwa 5000mAh, kioo kikubwa.

ILA KAMA WEWE NI MPENZI WA PICHA ZENYE DETAILS NZURI BASI HAPA NDIO MAHALA SAHIHI PA KUKAA NIKIMAANISHA JIPATIE GOOGLE PIXEL 6 PRO.
 
swali langu kwa mleta mada, kipi hufanya computer itumie data kwa kiwango kikubwa kuliko smartphone na why smartphone iwe more than vibatan ,
mbili nifanyeje nipunguze matumizi ya data katka android phone while browsing not watching any video and namna ya kublock ads completely bila rooting.
Thanks in advance.
 
Back
Top Bottom