Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
- Thread starter
- #21
jaribu kutumia apps za kufanya hivyoNataka kuhack meseji za mtu unaweza kunifundisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaribu kutumia apps za kufanya hivyoNataka kuhack meseji za mtu unaweza kunifundisha.
ndo uzitaje Sasa mzee.jaribu kutumia apps za kufanya hivyo
android au ios?ndo uzitaje Sasa mzee.
Android mzeeandroid au ios?
Android mzee
na kwa uzoefu wako zinafanya .yaano lengo langu nataka kujua ni kweli hilo jambo linawezekana
- TheWiSpy Android Spy App.
- XnSpy Cell Phone Spy App.
- FamiSafe Android Monitoring App.
- FlexiSpy Mobile Spyware.
- MobiStealth Phone Monitor.
- mSpy Mobile Monitoring App.
- CocoSpy Android Spyware.
- SpyEra Mobile Spy App.
sijawahi tumia mkuuna kwa uzoefu wako zinafanya .yaano lengo langu nataka kujua ni kweli hilo jambo linawezekana
zinafanya kazina kwa uzoefu wako zinafanya .yaano lengo langu nataka kujua ni kweli hilo jambo linawezekana
Hakuna toleo lolote la tecno bora tangu dunia ianze.Mkuu simu gani au toleo gani la Tecno ni best of all time mawili tafadhali hasa hasa kwenye ubora na uimara wa simu husika?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tuache Tecno lover tafathali maana wewe ni mfata brand hujui durabilityHakuna toleo lolote la tecno bora tangu dunia ianze.
Kwa upande wa tecno ni Tecno Camon CX plain na Phantom X.Mkuu simu gani au toleo gani la Tecno ni best of all time mawili tafadhali hasa hasa kwenye ubora na uimara wa simu husika?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Vile tunaandika muda wote hiyo liquid haiishi?Smartphone zinatumia Liquid Crystal Display screen ambapo pale kioo kinapopata majeraha huonekana kama ni wino, la hasha sio wino ni idadi ya pixel za kioo kilichopata jeraha.
NI DISPLAY KAKA SIO KIMIMINIKA.Vile tunaandika muda wote hiyo liquid haiishi?
Shukrani mkuu....ngoja nitaikagua vizuri kabla sijafanya paymentKwa sasa hizo simu used toka nje zimekamata sana soko. Mfano mzuri mimi natumia Sony XZ1. Kuna baadhi ya brand ni ngumu kuchakachua kama Sony, LG maana mchina hahusiki na kutoa copy sana.
Kwa brand kama Samsung ni rahisi kuchakachuliwa au kuuziwa simu ya mbongo mwenzako wa hapa hapa, labda upate Samsung ambayo ni customized kwa kampuni za simu za Korea na Japan kama docomo na kt.
Mfano mzuri: kuna hii samsung galaxy feel nilinunua, zinakuwa na features tofauti sana na hizi ambazo zinatengenezwa china. kwa mfano china haweki features kama NFC.
View attachment 1980593
Nimecheka sana.Unatuchelewesha Maendeleo
Nenda Ukafanye Hacking World Bank
Mambo Ya Mapenzi Hayana Maana
Mkuu hapa sijakupata vizuri. Umemaanisha kwamba usipopokea simu kuna sms inaenda kwa aliyekupigia?Kuna mtu kanionganisha nikipigiwa nisipo pokea msg inaenda kwny hiyo namba alikuwa amepigiwa nataka nitoe hiyo kitu natoaje
Kwanza hizi series za Google Pixel 6 zimeimarushwa sana kwenye upande wa picha, performance ya hali ya juu sana na usmartness.What are your thoughts on the latest Google Pixel 6 series?