Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
shukrani sana mkuu, umeniondoa matongotongo yote hapa,πππKama unatumia google chrome unaweza kuwasha Data Saver au Lite Mode ambazo hizi unazipata kwenye ili kupunguza matumizi ya data pale unapoitumia.
Ku-block ads kwenye google chrome nenda kwenye Setting>Advanced>>Site Setting>Ads bofya hapa utaona button bofya ku-block on site ads/misleading ads
Naweza pata link ya android 11?Nakaribisha maswali yoyote kuhusu Simu za aina yoyote ile pamoja na kamera za aina yote.
Angalia hii video kwa msaada zaidi.hivi hakuna uwezekano wa ku-upgrade samsung s6 edge kuwa katika android japo 10 tu
Angalia hii video kwa msaada zaidi.
Naweza pata link ya android 11?
hivi hakuna uwezekano wa ku-upgrade samsung s6 edge kuwa katika android japo 10 tu