Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza

KaribuView attachment 1559794


Niongezee pia kuelezea kuhusu Aina ya subwoofer
Je unataka kununua Basi zingatia
Zipo za Aina mbili old model na digital,.
Sio majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model
Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu
Ila kinafanya multipurpose ,ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid
Kifupi Mambo yote Ni in one button

Faida yake Ni kua
Aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater (Ila haijawahi[emoji2][emoji2]) inakua na umeme mnyoofu kidogo
Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi
Ni digital,yaani yakisasa,
Lakini pia display yake Ni LCD haitumii umeme mwingi

Je utaijuaje?
1 nob yakuongezea sauti ni moja tu na Zaid utakuta button za menu na input (inategemeana)
Ukiigeuza nyuma inakiplastic kidogo kilichozungushwa nati,yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko woote wa nyuma hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer

Hasara zake

1 Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000
Ila ukifika unaipachika tu huangaiki

2 Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob
3 Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde Sana
Kwahyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo Ni nzuri kwenye uzuri wake
Yenyewe ukiingalia utakuta Ina )nob( yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja
Yaani Cha master volume ,bass , tweeter na mic
Na ukivizungusha vinafika mwisho
Yenyewe ndani power supply yake Ni yakawaida inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida Kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kudambazwa ndani
Yaweza kua seapiano codjec aborder au vyovyote
Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma

Faida yake Ni....
1 ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
2 zinavumilia Sana
3 hata muziki upo pia
4 rahisi kuitumia
Hasara zake
1 display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoipa Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo
VFD inakula umeme
***********†***********†**********+*******†
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo,huzaliana na kuleta hitirafu kwa kukata nyaya na kula speaker
Waya wa speaker unachumvi chumvi hivyo akiingia hauachi
Simple way jinsi yakudhibiti
Pale kwenye tobo kunaki corn Cha duara hua wanakipachika unaweza kitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao
1 chukua maji ya moto kidogo na kitambaa
Kichovye kitambaa kwenye maji Kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano
2 Kisha chukua kisu
Tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani (sio Huku uliko Kanda kwa maji)
3 ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa ,kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu
4 paka gundi upande wa ndani Huku ulikokua unakanda na maji Kisha kibandike Tena Kama kilivyokua

Nb hi ni kwazile subwoofer Kama pichani hapo juu
Ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara
Wale zinazotolea mbele chini Ni habari nyingine..
******†******†*******†*******†""""†""""""†*

Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195





Some updates..........
Je music system yako haina Bluetooth na unataka kuongezea easy sana na inawezekana pia ,kwa mafundi nnawwza kuwaelekeza

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5 yaani picture video inawezekana pia[emoji3][emoji3]
Hususani wale wenye tv zakizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer,unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer Hadi kwenye tv



Stay here....
More good things are here...
Sub woofer yangu inanasa radio call za polisi tu, hamna frequency za radio za fm ninazopata, shida ni Nini?
 
Hajui kama hiyo mashine hapo ni 11.2 Dolby Atmos. [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1656436
1800 US$
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Sikua nafahamu jina lake mkuu
Hi nliwah ifanyia editing kidogo ya jamaa mmja wa tanga huko iliuwa power
 
Msaada nina 'sabufa' yangu inakata 'base' mpk uigongegonge makofi ndo inarudi ila ukipiga sana mziki inakata tena

Mkuu huenda waya unaotoka kwenye connector za hyo speaker kwenda kwenye coil inaachia au ina loose ndio maan inafanya hivyo
Solution yake nikuibadili waya hiyo
 
Sub woofer yangu inanasa radio call za polisi tu, hamna frequency za radio za fm ninazopata, shida ni Nini?

[emoji848][emoji2960][emoji848][emoji2960][emoji848]inawezekana subwoofer hyo inacheza frequency za ambaada ya fm
Kwahyo hadi utakapo ibadi hyo am module
 
Nina subwoofer yangu ina speaker mbili, ya L n R....ila speakee ya R haipigi kabisa ingawa mwanzo ilikuwa inapiga, shida ni nini? Mtaalamu.

Mkuu umejaribu kuhamisha matundu yakuchomekea nyuma?
Ikiwa ukihamisha inaimba basi tatizo lipo ndani kwenye system ya waya au ic inauo drive hyo ic
Ikiwa haitaimba hata ukichomeka kwingine bAsi speaker huenda inashida ndani yenyewe au waya zimekatika
 
Back
Top Bottom