Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Sound + Design set up = [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

cheki hiyo page ya jamaa wa kenya,wana miziki ya maana, bongo bado sana,wako busy kuagiza mchina
 
Hapa ndio hasa mnapopishana, jamaa wanazungumzia name brands ila kwa kipato cha wengi hatuzimudu hizo redio za Klispch, SVS ama sijui Polk Audio. Those are indeed expensive.

Ila kwa level yetu wengi ya miziki ya 200K-1000K Sony huwa ndio mtawala wa sound arena. JBL amekuja on top of Sony kwa affordability ila quality still hawajaachana sana.

Ila tukija in terms of perfomers ndio tunagundua kumbe kuna underdogs ambao wanaweza kuwazidi hata giants kwa perfomance ndio tunakutana na watu kama Kodtec. Hatuongelei ushabiki ila kwa music enthusiasts kama mimi nimesikiliza sound nyingi sana. Nikisikia mziki wa kweli naujua [emoji23][emoji23][emoji23] regardless ya brand name.

Kodtec wanaweza kupitia hizo speakers zao za subwoofer wanaweza kutengeneza best sounding bass speakers. Ukiniambia tofauti ya quality ya bass ya JBL na hawa Kodtec ntakwambia ni almost unnoticed ila JBL anaweza kuwa na crispy highs kumzidi Kodtec.

Ukija kwa Sony technically bass production ya Kodtec iko vizuri kuliko mule. Bei sasa ndio utacheka maana Kodtec haina jina sokoni kama Sony ni ngumu kumshawishi mtu anayependa name brands ila music enthusiast can easily tell the difference.
Nakubaliana na wewe kuhusu budget-systems za kibongo-bongo(kwa umasikini wetu).

Lakini Music is not all about Bass. Music enthusiastics hawaangalii Bass peke yake.

Yaani unajudge Music kwa kuzingatia Bass? Kwamba kwa sababu Speakers X zina Bass la kufa mtu basi hapo una ndio una mziki bora?

Speaking about HIFI, Kuna vitu kama Balance of Sound (kati ya Low,mids and highs), kuna ishu ya Soundstage, kuna Stereo Separation, the way unavyoweza kudistinguish levels of sounds unaposikiliza between the left and right channels etc...

Sasa kwenye hizo factors Kodteq anaingia kwa ngapi?
 
cheki hiyo page ya jamaa wa kenya,wana miziki ya maana, bongo bado sana,wako busy kuagiza mchina
Bongo miyeyusho sana.
Ukiondoa subwoofer za mchina, kuna LG, Sony na Samsung Ambao katika ulimwengu wa Speakers HAWAMO KABISA.

If anybody needs a serious sound (Hifi or Home thearte), you have two options.

1. Nunua kutoka Nairobi Kenya, wana maduka genuine(nayafahamu mawili) yanayouza Real High End Sound Systems zilizoko huko Duniani.

2. Agiza moja kwa moja kutoka USA kupitia Amazon. Hapa kuna sounds za kila aina na hata usizozijua.

Mimi nilienda na Option 2.
 
Nakubaliana na wewe kuhusu budget-systems za kibongo-bongo(kwa umasikini wetu).

Lakini Music is not all about Bass. Music enthusiastics hawaangalii Bass peke yake.

Yaani unajudge Music kwa kuzingatia Bass? Kwamba kwa sababu Speakers X zina Bass la kufa mtu basi hapo una ndio una mziki bora?

Speaking about HIFI, Kuna vitu kama Balance of Sound (kati ya Low,mids and highs), kuna ishu ya Soundstage, kuna Stereo Separation, the way unavyoweza kudistinguish levels of sounds unaposikiliza between the left and right channels etc...

Sasa kwenye hizo factors Kodteq anaingia kwa ngapi?
Kodtec 2.1 is just a multimedia speaker ambayo concentration yake ni bass. Ana mid speakers na tweeters. For bass lovers its a killer.

Ile Kodtec ya 5.1 ambayo wanadai ni 2OOOw ile ndio ina channel zote center, front, rear na subs. Walau humo unaweza kuanza ku factor out muziki kwa upana ina makelele ya kutosha which is a No for me. Mi sipendi mziki wa kelele nitauwekea EQ niu compress hadi ubakie bass na mid kwa mbali with crispy highs.
 
acha kuua mzee, jamaa wa sea piano, alipu,aborder, mr.uk ,zune, wanakusoma hapa
 
Bongo miyeyusho sana.
Ukiondoa subwoofer za mchina, kuna LG, Sony na Samsung Ambao katika ulimwengu wa Speakers HAWAMO KABISA.

If anybody needs a serious sound (Hifi or Home thearte), you have two options.

1. Nunua kutoka Nairobi Kenya, wana maduka genuine(nayafahamu mawili) yanayouza Real High End Sound Systems zilizoko huko Duniani.

2. Agiza moja kwa moja kutoka USA kupitia Amazon. Hapa kuna sounds za kila aina na hata usizozijua.

Mimi nilienda na Option 2.
hata hizo Lg zenyewe na Samsung ni clone, sio Og
 
Kodtec 2.1 is just a multimedia speaker ambayo concentration yake ni bass. Ana mid speakers na tweeters. For bass lovers its a killer.

Ile Kodtec ya 5.1 ambayo wanadai ni 2OOOw ile ndio ina channel zote center, front, rear na subs. Walau humo unaweza kuanza ku factor out muziki kwa upana ina makelele ya kutosha which is a No for me. Mi sipendi mziki wa kelele nitauwekea EQ niu compress hadi ubakie bass na mid kwa mbali with crispy highs.
Nina kodtec ya 5.1
2000w ninamis nini kwenye huo mziki?
 
hizo zangu ndio imekuwa project ya kwanza.

kibongo bongo kuunda mwenyewe mtihani unakuja kwenye kupata materials hasa woofer, tweeter na midranges.
Kupata tu soeaker nilihangaika sana wee fikiria nilikuwa nawaza kuunda speaker mwenyewe tangu 2017.
Kupata Receiver na speakers kuunda ili nianze kazi, speaker nikawa sipati. bongo nyingi yanejaa yale makubwa na zile za gari.
kuagiza nako guarama kubwa sana. wee fikiria speaker nzuri zipo AliExpress ila moja ni zaidi ya laki. kuisafirisha pia zaidi ya laki.

sasa pata picha unahitaji zaidi ya speaker 8,
wenzetu huko kuna site iñaitwa partexpress, huko kila unalotaka kuhusu kuhunda speaker unapata materials.
Kumbe unaijua hio Kuna spika zinaitwa Dayton audio hope ushaziona huko ni balaa na nusu
 
hakuna mahal nimesema tower speakers hazitoi deep bass, nimesema midrange

unaweza nipa specifications za sound system yko

n.b sisi wengine bila mziki kudundia kifuani hatusikii kma tumesikia mziki.
Kama unatuma signal full range kwenye hizo tower huwezi pata deep bass zitagonga bass ila sio deep Hadi usikie kifuani bila dedicated subwoofer
 
Kodtec 2.1 is just a multimedia speaker ambayo concentration yake ni bass. Ana mid speakers na tweeters. For bass lovers its a killer.

Ile Kodtec ya 5.1 ambayo wanadai ni 2OOOw ile ndio ina channel zote center, front, rear na subs. Walau humo unaweza kuanza ku factor out muziki kwa upana ina makelele ya kutosha which is a No for me. Mi sipendi mziki wa kelele nitauwekea EQ niu compress hadi ubakie bass na mid kwa mbali with crispy highs.
Sasa mkuu, japo hiyo kodteq sijaisikiliza, ila ukishasema 5.1 maana yake hapo huzungumzii tena Stereo(Hifi) System, unazungumzia Homethearte. Na ni Homethearte ya mchina.

Na homethearters hazikutengenezwa kwa ajili ya kukupa ile real feel ya Music, hata home theaterte zenye majina makubwa duniani bado hazikupi that real Music( I stand to be corrected).

Kama tunazungumzia real Music system, sidhani kama hapo kwenye kodtec 5.1 kuna serious Music, labda hiyo 2.1
 
Back
Top Bottom