Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
View attachment 2336602hizi pia mtu kajitengenezea mwenyewe home.
Vijana mna vipaji ila sasa mnazingua sehemu moja tu wadogo zangu, finishing. Piga rangi ambayo ni ngumu kujua hii spika imetengenezwa local. Mfano hapo kuna mambo mawili, kwanza kabisa kuna rangi ya damu ya mzee, rangi imekuja kuleta show nyingine kabisa, bora angepiga hiyo hiyo moja tu, pili spika fanya kuziingiza kwa ndani kidoooogo, kidogo sana.

Sio vibaya mkatafuta hata wavu kwa ajili ya kufunikia maeneo ya spika. Unaposhusha kitu kama hiki usione kama umetengeneza kawaida, au unajiona wewe ni mtu wa kawaida, wewe sio wa kawaida, jikubali, ona kaz yako ni njema saana na ni nzuri. Fanya marekebisho mkuu hayo nnayowaambia na muanze kupiga fedha kwa wingi.
 
Sure!
Vitendea kazi na watu wakufanya ndio shida ilipo!
Wenzetu wako mbali sana sana sanaa
Kwenye plastic na hata wood pia
Hopefully ingekua pow sana ikiwa wangepatikana
 
IMG_6913.jpg

Moja kati ya vitu vinaumiza kichwa ni finishing!!!

Utahangaika kusuka amplifier
Utoe zile background noise
Iwe kmy!
Ila unapokuja kwenye jambo la kufanya iwe na muonekano bomba ndio shida!
Mawazo unayo ila namna ya kuyaeasilisha kwenye object ndio shida ilipo!

Kati ya vitu wenzetu wameweza ni finishing
Plastic au bati ila kote wanafanya bomba
Mafundi wetu wako nyuma sababu vitendea kazi na Hata materials zenyewe
Ki box kama hicho[emoji1369] Ukitaka ukitengenezee cover ya mbele na plastic designer
Utaratibu na njia hadi ufanikishe ni hard sababu wanaofanya ni wachache
Hata wakikubali shingp?
Utapata faida?

Dah[emoji1316][emoji26]
 
IMG_7605.jpg

Kwa wale mafundi

Nkaona nna muda nkajalibu kutumia SMD (chawa) kusuka operations amplifier
By the way ni 2channel na kinafungua balaa[emoji16]
 
View attachment 2365912
Moja kati ya vitu vinaumiza kichwa ni finishing!!!

Utahangaika kusuka amplifier
Utoe zile background noise
Iwe kmy!
Ila unapokuja kwenye jambo la kufanya iwe na muonekano bomba ndio shida!
Mawazo unayo ila namna ya kuyaeasilisha kwenye object ndio shida ilipo!

Kati ya vitu wenzetu wameweza ni finishing
Plastic au bati ila kote wanafanya bomba
Mafundi wetu wako nyuma sababu vitendea kazi na Hata materials zenyewe
Ki box kama hicho[emoji1369] Ukitaka ukitengenezee cover ya mbele na plastic designer
Utaratibu na njia hadi ufanikishe ni hard sababu wanaofanya ni wachache
Hata wakikubali shingp?
Utapata faida?

Dah[emoji1316][emoji26]
pitia aliepress utaona box za kusukia amplifier, sema tatizo ni bei,
 
Naomba niulize hv home thrleater ya sony haiwez kuonesha nyimbo zikiwa zaidi ya 664+ au flash yngu ndo haisuport kweny kuonesha kweny home theater..? Maana nna nyimbo 2000 iLa kweny homtheater znaonekana nyimbo 600+
 
View attachment 2365912
Moja kati ya vitu vinaumiza kichwa ni finishing!!!

Utahangaika kusuka amplifier
Utoe zile background noise
Iwe kmy!
Ila unapokuja kwenye jambo la kufanya iwe na muonekano bomba ndio shida!
Mawazo unayo ila namna ya kuyaeasilisha kwenye object ndio shida ilipo!

Kati ya vitu wenzetu wameweza ni finishing
Plastic au bati ila kote wanafanya bomba
Mafundi wetu wako nyuma sababu vitendea kazi na Hata materials zenyewe
Ki box kama hicho[emoji1369] Ukitaka ukitengenezee cover ya mbele na plastic designer
Utaratibu na njia hadi ufanikishe ni hard sababu wanaofanya ni wachache
Hata wakikubali shingp?
Utapata faida?

Dah[emoji1316][emoji26]
zipo kesi zinauzwa tayari ni wewe tu kuja kuweka ndani board zako na mitambo yako. unakuta tayari kesi zipo vizuri zina Vu meters na balls za sauti etc. ingia AliExpress Alibaba zipo nyingi tu.
 
Wakubwa ninayo Sony H.T DAV 650 imeungua Power supply mara yakwanza niliituma matengenezo Dar ikapona imerudi mkoa imepiga kaz miez mi3 imeungua tena sasa nimeamua kuachana na hii deki.Sasa hizi spika zake znaweza kufanyiwa modfcation gani nikaweza kula mziki kwahizi spika bila hii deki yake pasua kichwa?
 
Back
Top Bottom