Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Inategemeana mkuu
Japo tunaipa HT nafas zaidi ya sbwfrs

Kwanini!?[emoji1427]
Ht zina mfumo maalumu wakuhisi(kuona short) kabla haijatokea
Ukiweka speaker nje ya kiwango haiwaki
Umeme ukiwa chin sana
Haiwaki

Subf hata uweke ki spika cha earphone itabutua tu[emoji16][emoji16]
Thus tunaipa nafas ht kidogo
Nje ya hapo vifaa vyote vinapata hitirafu japo hitirafu zinazidiana
HT yangu imekufa,imepigwa short...nimejaribu kufungua kurekebisha nimekwama..ipo mispeaker tu naishangaa now.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Tuanze kuona ushirikiano wa watu wa furnitures na electronics, Tutakuwa tunaagiza drives tu. tunakuja kukamilisha za kwetu wenyewe.

Niliwaza unda Bluetooth speaker mfano hio vifaa vyote viko AliExpress, kibongo fundi gani ananitolea box kama hilo ni dogo sana ..passive radiotor kwa juu liko sealed but ukimaliza amini nakwambia sauti ni kama jbl..box tu ndo linatakiwa zuri na finishing nzuri kama jamaa alivofanya
 
Attachments

  • IMG-20220926-WA0029.jpg
    IMG-20220926-WA0029.jpg
    41.1 KB · Views: 25
  • IMG-20220926-WA0028.jpg
    IMG-20220926-WA0028.jpg
    34.1 KB · Views: 24
  • IMG-20220926-WA0027.jpg
    IMG-20220926-WA0027.jpg
    39.7 KB · Views: 28
Niliwaza unda Bluetooth speaker mfano hio vifaa vyote viko AliExpress, kibongo fundi gani ananitolea box kama hilo ni dogo sana ..passive radiotor kwa juu liko sealed but ukimaliza amini nakwambia sauti ni kama jbl..box tu ndo linatakiwa zuri na finishing nzuri kama jamaa alivofanya
Yeah, mkuu inawezekana kabisa. Compnents nyingi wenzetu wanazo wanauza vipande una assemble unapata chako kizuri kabisa. Hapo ndipo wachina wanapotupiga sana product nyingi sana zao zimejaa huku nyingine hata hazina majina makubwa na zinakuja kwa msimu zinapotea kesho inakuja brand ingine. Wanachofanya ni assembling tu na designing tu.
 
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

KaribuView attachment 1559794

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
Naomba kujua tofauti kati ya sound bar na sub woofer
 
Yeah, mkuu inawezekana kabisa. Compnents nyingi wenzetu wanazo wanauza vipande una assemble unapata chako kizuri kabisa. Hapo ndipo wachina wanapotupiga sana product nyingi sana zao zimejaa huku nyingine hata hazina majina makubwa na zinakuja kwa msimu zinapotea kesho inakuja brand ingine. Wanachofanya ni assembling tu na designing tu.
Mambo ndani ni yale yale zote utasikia to Bluetooth device is connected successful tofauti maumbo tu
 
Boss bei inaambatana na mkoa?

Dodoma.

Hapana....
Nlipenda kujua ulipo ili tuone namna gani unaweza kusikia sounds zetu ili usikilize ulidhie
Sikua na maana yoyote ya bei au ki fedha

Kwa haraka dodoma mala ya mwisho tumetengeneza mziki unaotumika shish food dodoma
Ngoja ni check kwenye library yetu kuona kama kuna mtu yupo dom anaetumia sound tuliyoiunda wenyewe

By the way nipo migori mbele kidogo ya mtera kwa sasa
Ukiwa unakuja njia hi unaweza sikia Hata sound yangu kisha uone mwenyewe
 
yes, anatakiwa akomae na
design tu kwa sasa,sema changamoto yaweza kuwa mtaji.
Design ndio hizo unazoziona , sema tu finishing si nzur . Na mnaposema mafundi mbao niwape na mpaka sasa wanafanya hao hao mafund mbao saiv mm nimracha kuchonga.
Kuna Jambo inabid mjifunze kidogo hapa, ujue haya Mambo tunayafanya Kwa nchi yetu ni mageni kidogo ndio maana hata upatikanaj wa baadh ya material Kwa huku unakuwa ngumu. Vile vile hawa mafund mbao mnaowasema ikianza kuwapa namna ya kuunda spika Kwa asilimia kubwa utakuta ameunda kitu tofaut na imagination yako ulivyotaka it seems kwamba wao wamezoea namna Ile wanavyochonga mbao au furniture za majumban, uundaji wa box za spika Una kanuni na Sheria nying Sana na hesabu nying Sana sio unaanza Tu kuunda box kama meza. Na hapa ndio maana wkt mwingin nikiwapa kaz bado mm nitafanya pia. Suluhu la hili jambo sio kuwapa maselemala kazi wafanya Bali ni kutafta fundi mwenye utaalam wa uselemala aje nimfundishe namna ya spika inavyotakiwa iundwe na awe specialist wa box za spika.. Jambo jingine ambalo mnakosea Sana ni kunifananisha Mimi na Sony au kampuni kubwa.. hili ni kosa kubwa sana kama huwa mnasoma historia fatilien product za zaman za Sony au pioneer muone walianzaje?? (Mtajua Nina maana gani) , kila kitu taratibu.. Jambo la Tatu ni kwamba yote yanawezekana kukiwa na pesa tena ni pesa ndefu.
 
Back
Top Bottom