Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
kelphin kwa TV unashauri iungwe na nini ili upate option zote?

Usikilize music, uangalie movie, na uenjoy vitu nje ya TV like radio au kucheza nyimbo?

Subwoofer
Sound bar
HI fi
Home theatre

Au nini?

Kwanza what is sound bar? Na zilizo bora unaangalia nini?

Sijajua kama nmekuelewa vizuri
Ntakujib ila kama hutaridhika utaniambia

Kwanza inategemeana na unata nini wewe mwenyewe
Katika vitu vyote ulivyotaja
Nadhan HT ndio ina option (kwanini) kwasababu
HT ni mahususi kwa kucheza home cinema
Na ili upate zile key za 5.1 signal basi ht ni nzuri
Wakati ht zinaundwa muhususi yake ilikua ni cinema na sio kusikiliza music
Kadri siku zinaposogea features zinafunguka kuongezeka ili kulinda soko na kufikia matamanio ya wateja
Sound bar ni sound system inayokua na bar moja ya system yake na woofer pemben (bass speak)
Ile bar
IMG_8151.jpg

Mfano wa hiyo iliyolala hapo ndio inakua na full contol ya system nzima pamoja na tweeter zake
Hi ilitengenezwa maalum ili kuipa nguvu saut ya flat tv
Thus ipo normal na kawaida haina complicates
Baadae nazo zikatengenezewa features nying ili kumpa mteja more option
Subwoofer ni system ya kawaida na rafiki kwa watu wengi
Sababu ya bei na upatikanaji wake huku ikiwa inatimiza haja za wateja wengi (malengo ya mchina)

Hi-fi the same
Ni sound system bomba inayokupa radha kamili ya mziki
Ile ya 2.0
Ingawa nazo nyingi wameingiza woofer pia
Hivyo imekua kama 2.1 mfumo wa subwoofer

Kusema ukweli kusema kipi ni bora kwako mimi itaniwis vigumu sababu sielew unataka nini
Je kipi kitakua chanzo cha mziki? Tv yenyewe au unatumia dvd player? Kwa mazingira gani(inafanya kazi wapi)
 
Ile bar View attachment 2404297

na pia aweke wazi,anapenda muziki munene with heavy punch, anapend soft sound au soft sound with mid bass, ni mzee wa.mamuvi zaidi,au anataka kula ngoma zaidi
 
kelphin kwa TV unashauri iungwe na nini ili upate option zote?

Usikilize music, uangalie movie, na uenjoy vitu nje ya TV like radio au kucheza nyimbo?

Subwoofer
Sound bar
HI fi
Home theatre

Au nini?

Kwanza what is sound bar? Na zilizo bora unaangalia nini?
lete hela upate vyuma kama hivi,ukimiliki hii,mziki wa mvhina unauona takataka
 
Attachments

  • FB_IMG_1667324164503.jpg
    FB_IMG_1667324164503.jpg
    57.4 KB · Views: 40
Dar duka gani?
hivi hapo dar hupati, viko hapo kwa jirani,Войдите на Facebook.

kwa bongo kuna jamaa mmoja tu anaitwa mrisho yuko moro anakuwa navyo anavitoa zanzibar na havikai,jumapili alishusha vitu vya jamo tower speaker,pioneer na denon avr, sub za maana, havikukaa hata jumatano watu washabeba vyote
 
Sijajua kama nmekuelewa vizuri
Ntakujib ila kama hutaridhika utaniambia

Kwanza inategemeana na unata nini wewe mwenyewe
Katika vitu vyote ulivyotaja
Nadhan HT ndio ina option (kwanini) kwasababu
HT ni mahususi kwa kucheza home cinema
Na ili upate zile key za 5.1 signal basi ht ni nzuri
Wakati ht zinaundwa muhususi yake ilikua ni cinema na sio kusikiliza music
Kadri siku zinaposogea features zinafunguka kuongezeka ili kulinda soko na kufikia matamanio ya wateja
Sound bar ni sound system inayokua na bar moja ya system yake na woofer pemben (bass speak)
Ile bar View attachment 2404297
Mfano wa hiyo iliyolala hapo ndio inakua na full contol ya system nzima pamoja na tweeter zake
Hi ilitengenezwa maalum ili kuipa nguvu saut ya flat tv
Thus ipo normal na kawaida haina complicates
Baadae nazo zikatengenezewa features nying ili kumpa mteja more option
Subwoofer ni system ya kawaida na rafiki kwa watu wengi
Sababu ya bei na upatikanaji wake huku ikiwa inatimiza haja za wateja wengi (malengo ya mchina)

Hi-fi the same
Ni sound system bomba inayokupa radha kamili ya mziki
Ile ya 2.0
Ingawa nazo nyingi wameingiza woofer pia
Hivyo imekua kama 2.1 mfumo wa subwoofer

Kusema ukweli kusema kipi ni bora kwako mimi itaniwis vigumu sababu sielew unataka nini
Je kipi kitakua chanzo cha mziki? Tv yenyewe au unatumia dvd player? Kwa mazingira gani(inafanya kazi wapi)
Umenichanganya kaka...

Nataka kusikilizia music hata kwa DVD/FLASH/BLUETOOTH, ku connect na TV iwe ni hitaji la ziada.... Yani sitaki ninunue kitu kiwe kwa ajili ya kuangalia movie na taarifa za habari.... Nataka itakayo kava mahitaji yote....
 
Back
Top Bottom