Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
naomba na mimi nitoe maoni yangu
Maoni yangu ukija kwenye kulinganisha kati ya Hi-fi,sound bar na home threate
mimi nitasima na home threate kwanini?
Vitu ilivyonavyo Home threate baadhi kwenye Hi-fi huvipati,kwenye HT unapata sound effect nzuri ukija kulinganisha na Hi-fi,
Ubora wa Hi-fi ni kwenye sauti kubwa na base na lakini bado HT ukii set up vizuri hautajutia kuinunua na bado itakupa base na vyombo utavisikia vizuri mfano kuna panasonic sa-pt 860 hii kitu ni hatari na kuna kubwa yake ya cd tano ni hatari,Muonekano unakua simple wa kuvutia bado inacooling system kiasi kwamba unauwezo wakuitumia muda mrefu bado inakuja na features nyingi na nzuri.Model zinazotoka sasa hv nivitu vichache wanaongezea lakin bado wakasimama kwenye misingi ya matoleo ya mwanzoni
 
Mkuu Hilo la Kwanza nimeshalijibu hapo juu
Unaweza rejea utaona

Kuhusu kusogeza nyimbo mbele Ni kua
It's all about programming
Kila kitu kinafanya Kama kilivyotengenezwa
Kwenye mp3 player ndani yake kuna ic au kwa lugha nyepesi tuseme kichakata taarifa
Kwahyo ikiwa haikutengenezwa kufanya hivyo haitafanya hivyo
Huenda wakiyengeneza ifanye hivyo inaweza hitaji vitu vingi
Ikumbukwe wao hulenga Zaid mtu yeyote aweze nunua.
Mkuu Nina kodtec Ile kubwa ipo vzr Sema nkiweka Bluetooth speaker moja ya mid unakuwa na kanoise so unakuwa haiimbii clear kama right mid. Ila nkiweka flash au line in hyo noise huisikii kwenye hyo mid. Model yake ni kt2913 nliipendaga kwa sababu ya bass yake ipo deep Ata kuzid my hm theater ila Bluetooth ndo inaniangusha tu. Na kingine naweza nikaunganishaje nikatumia kwenye home theater bass
 
Unajua mi siamini kama ni kiwanda kimoja mpaka sasa [emoji23][emoji23][emoji23] hao watu! Sababu kuna mtu alinambia hata Circuit zao ni tofauti na kweli hata mziki wake ni tofauti. Kodtec ana dynamic range bass ila Sea piano ana boom bass! Kuna aina flani za bass hazisikiki kwenye sea piano ila kodtec zinasikika both boomy and midrange bass notes.
Mkuu mm nina home theater Lakin nlikutana na kodtec linapiga bass nzur nkajikuta natoa hela mfukoni nanunua. Kwenye bass hamna subwoofer inaikuta hata hz home theater dz za Sony haxiingii maana I napiga bass kama Ile ya gar na ni 300watt.
 
Wewe sina shaka mkuu utakuwa unajua maana ya mziki mzuri! Maana mie nilipata experience nzuri sana hasa ya bass ambayo sikutegemea yani kama kuna subwoofer ya kichina inaweza kuwa na mziki mzuri namna ile! Nilishasikiliza miziki mingi mikubwa subwoofers ila ule ulikuwa na extra punch

Subwoofer nyingi za mchina zina boomy bass (bass lililochanganyika na midrange) sio deep bass (bass kavu) halafu husikii ile range ya woofer bass notes ambayo unaipata kwenye zile hi-fi systems!
 
Mm Ile naitumia kwa kusikilizia music skuhz Ila movie ndo home theater.
 
Mkuu mm nina home theater Lakin nlikutana na kodtec linapiga bass nzur nkajikuta natoa hela mfukoni nanunua. Kwenye bass hamna subwoofer inaikuta hata hz home theater dz za Sony haxiingii maana I napiga bass kama Ile ya gar na ni 300watt.
Yah 300 watts rms ila peak output lazma itakuwa 1000 watts au 1200watts
 
Mkuu Nina kodtec Ile kubwa ipo vzr Sema nkiweka Bluetooth speaker moja ya mid unakuwa na kanoise so unakuwa haiimbii clear kama right mid. Ila nkiweka flash au line in hyo noise huisikii kwenye hyo mid. Model yake ni kt2913 nliipendaga kwa sababu ya bass yake ipo deep Ata kuzid my hm theater ila Bluetooth ndo inaniangusha tu. Na kingine naweza nikaunganishaje nikatumia kwenye home theater bass
Basi hio nafikiri ina factory defect sababu mie nilijaribu kupiga kwa bluetooth mbona haikuwa na noise yeyote ile
 
Yah 300 watts rms ila peak output lazma itakuwa 1000 watts au 1200watts
Na sio boomy. I napiga deep bass vzr ambapo sjaona kwenye hz Sony au panasonic ht zinauwezo huo labda jbl sound bar ndo nlishaona inauwezo WA hii bass. Ilikuwa ni jbl 5.1 soundbar ambayo spika za surround zinachomoka ndo bass yake na yenyew sio mchezo na ni sound bar
 
Back
Top Bottom