Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 

subwoofer yangu kuna vile vispika vidogo kimoja hakipigi na kingine kinapiga, sasa cha ajabu nikiexchange ya upande mwingine mambo ni vile vile moja inapiga na moja haipigi embu nipe mchakato aisee inakuwaje hapo​


Pole mkuu
Matatizo yaweza kua ic inayo drive hyo njia inashida
Au njia zinazoleta signal kwenye hyo ic hazipeleki signal
Au huenda njia kutoka kwenye ic kuja hapo kwenye connector(hapo unapochomeka hizo speaker zako) inashida
Au signal haiingii kwenye operation amplifier (op amp)


Je ukiweka frash disk inapiga zote au ni yote kiujumla?
 
Pole mkuu
Matatizo yaweza kua ic inayo drive hyo njia inashida
Au njia zinazoleta signal kwenye hyo ic hazipeleki signal
Au huenda njia kutoka kwenye ic kuja hapo kwenye connector(hapo unapochomeka hizo speaker zako) inashida
Au signal haiingii kwenye operation amplifier (op amp)


Je ukiweka frash disk inapiga zote au ni yote kiujumla?
kwa flash sijjua mkuu mana huwa natumia mara nyingi kusikiliza redio au nikiwa naangalia TV naconnect sauti kwenye subwoofer lakin naogopa kupeleka kwa fundi si unajua mafundi wetu tatizo moja yanazalishwa matatizo mia
 
kwa flash sijjua mkuu mana huwa natumia mara nyingi kusikiliza redio au nikiwa naangalia TV naconnect sauti kwenye subwoofer lakin naogopa kupeleka kwa fundi si unajua mafundi wetu tatizo moja yanazalishwa matatizo mia

Uko sahih kabisa kabisa mkuu
Hakuna namna hapo
Mim nipo iringa hapa
 
Mkuu umejaribu kuhamisha matundu yakuchomekea nyuma?
Ikiwa ukihamisha inaimba basi tatizo lipo ndani kwenye system ya waya au ic inauo drive hyo ic
Ikiwa haitaimba hata ukichomeka kwingine bAsi speaker huenda inashida ndani yenyewe au waya zimekatika
Yaani speaker ya R ukiipeleka L kunakoimba iko freshi tu, nimejaribu nikaona upande wa R unatatizo, sijui tatizo ni nn, maana speaker zote ziko safii
 
Basi inawezekana ile sehemu ya kuchomeka flash imetanuka
Ndani pale pana terminar4 na zote lazima zikutane na termn za flashi yako
Ikiwa moja wapo ita fel bas ndicho kinachokutokea wew
Sina uhakika kama processor ya hyo sehem itakua imesumbua kwasabab ikiungua ile vyote havitafanya kazi hapo
Kwahyo mtafute fundi akuangalizie hapo
Poa mkuu nitafuata ushauri wako

Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umejaribu kuhamisha matundu yakuchomekea nyuma?
Ikiwa ukihamisha inaimba basi tatizo lipo ndani kwenye system ya waya au ic inauo drive hyo ic
Ikiwa haitaimba hata ukichomeka kwingine bAsi speaker huenda inashida ndani yenyewe au waya zimekatika

@Hatugombani
 
@Extrovert vipi kwenye hyo ndinga yako umetia la watts ngap mkuu[emoji23][emoji23]

By the way zile za kwenye gari zinaingiza had volts40 kwenye circuit yake tofaut na subwoofer
Ndio maana mkiyo zinapishana
Lakin pia kwenye gari kuna vitu kama crossover zenye uwezo mzuri
Ndio maana kule inakua real kabisa
Hahahah sijatia mziki mambo tyt yani
 
Sony walau upate zile GTR series ambazo cone yake ni nyeupe, ndo makin ila hya mekundu yaliyojazana mjin ni hovyo sana

Kuna miziki ya gari bhana acha

Rockford fossgate upate kinu kinatema hadi watts 2500rms


Piooner premier kinatema watss 1000rms.

Sundown watss 1500

Ground zero.

Jl audio

American bass

Mtx terminator

Targa

N.k


Nataka Sony Xplod 12" Dual cone
 
Back
Top Bottom