Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Mkuu kelphin kepph na wadau wengne
Subufa ang imekutana na hii changamoto, , inawaka ila upande wa mp3 haiwaki,
Naomba muongozo tatizo ni nini
Na ni nn cha kufanya?View attachment 2131830

Sorry nmechelewa ku respond tokana na mazingira
Kikawaida huenda kuna bitu viwili
1 kuna ic inaitwa 7805 hua ina regulate umeme wa kuja hapo kwenye mp3 hiyo
Kama imeungua bas haitawaka
Au huenda umeme haufiki kwenye hiyo 7805
Au huenda mp3 processor imepata shida
Je wew n fundi?
 
Ubora,uvumilivu,uwezo.
Ubora unahisianisha ugumu wa kipimo husika
Kuna zingine probe zake zile zinakatika ovyo tu
Ndio vile vya 10000-30000
Na hizi kuungua n easy tu
Unaweza kuta uliselect continues bahat mbaya ukapima voltages [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hapo ni goodbye
Kuna za medium anbazo zina cramp meter
Nazo sio bora wala mbaya
Nazo zinamda zinazingua tu
Afu kuna zenyewe ambazo ni MULTIMETER haswa!
Hizi bei yake unakuta hadi 800000-
Hizi hata ukosee vipimo hakiharibiki kizembe
Uharibikaj wake labda umwagie maji au vyovyote vile
Laki nane?
 
IMG_6762.jpg

Haya bass speaker hiyo nmeipokea leo iringa
Jbl bei yake ni 120
Wengine 120 n bei ya subwoofer
Afu unataka sound tufanane?[emoji16][emoji16]
Ukitaka sound nzito basi jua ghalama ipo kubwa sana
Deep bass inataka pesa
Na ina gonga balaa
IMG_6761.jpg

Yess its jbl!
[mention]Extrovert [/mention] [mention]That Gentleman [/mention] [mention]Mapank [/mention] [mention]Zabron Hamis [/mention] [mention]Smart Guy [/mention]
 
Sorry nmechelewa ku respond tokana na mazingira
Kikawaida huenda kuna bitu viwili
1 kuna ic inaitwa 7805 hua ina regulate umeme wa kuja hapo kwenye mp3 hiyo
Kama imeungua bas haitawaka
Au huenda umeme haufiki kwenye hiyo 7805
Au huenda mp3 processor imepata shida
Je wew n fundi?
Tuelekeze kwa faida ya wote. Hapo inshort ni kwamba ile taa (mwanga) ya display inakuwa inawaka (ukipima output ya 7805 inatoa voltage za kutosha lakini mp3 player haifunguki.
 
Tuelekeze kwa faida ya wote. Hapo inshort ni kwamba ile taa (mwanga) ya display inakuwa inawaka (ukipima output ya 7805 inatoa voltage za kutosha lakini mp3 player haifunguki.

Mp3 ina processor yake mkuu
Na processor ndio kila kitu
Kama umeme ni mmja ila mp3 haiwak basi angalia mp3 processor yke kama haichemki
Pia huenda mende wamekojolea hiyo mp3
 
Sorry nmechelewa ku respond tokana na mazingira
Kikawaida huenda kuna bitu viwili
1 kuna ic inaitwa 7805 hua ina regulate umeme wa kuja hapo kwenye mp3 hiyo
Kama imeungua bas haitawaka
Au huenda umeme haufiki kwenye hiyo 7805
Au huenda mp3 processor imepata shida
Je wew n fundi?
Hapana mimi fundi, Nadhan weekend hii nitaipeleka kwa fundi
 
View attachment 2132706
Haya bass speaker hiyo nmeipokea leo iringa
Jbl bei yake ni 120
Wengine 120 n bei ya subwoofer
Afu unataka sound tufanane?[emoji16][emoji16]
Ukitaka sound nzito basi jua ghalama ipo kubwa sana
Deep bass inataka pesa
Na ina gonga balaaView attachment 2132719
Yess its jbl!
[mention]Extrovert [/mention] [mention]That Gentleman [/mention] [mention]Mapank [/mention] [mention]Zabron Hamis [/mention] [mention]Smart Guy [/mention]
Lakini hii sio ORIGINAL maana jbl washa declare hawana hyo ya watts 12000 bali ni watts 10000 peak na ni 250watts rms, bei ya og ni kma 200000tsh na usheee
 
View attachment 2132723
Its Transmission line box
Mkuu nataka kutengeneza single bass box yani iwe ni box inayotoa bass nzito pekee, halafu treble itokee kwenye twitter za kawaida, inawezekana? Je itanicost sh ngap, yani badala ya subwoofer ile nitoe niweke bass box, napenda sana bass, sauti itokee kwenye twitter za kawaida
 
Mkuu nataka kutengeneza single bass box yani iwe ni box inayotoa bass nzito pekee, halafu treble itokee kwenye twitter za kawaida, inawezekana? Je itanicost sh ngap, yani badala ya subwoofer ile nitoe niweke bass box, napenda sana bass, sauti itokee kwenye twitter za kawaida

Kwa mashine ya subwoofer?
 
Back
Top Bottom